Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,654
Duhh aisee Nondo za maanaOkay mkuu pole sana ila unamatatizo rahisi saaanna hayo
Kunyauka unaweza kua sababu ya
1.nematodes
2.fusarium wilt(fungus)
3.bacterial wilt
Uzur umegundua wako ni root knot nematodes hao wanatibiwa / kuuliwa kwa furadan ila bahati mbaya imefungiwa sababu inakaa sana shamban mpaka kwenye tunda inaathir mlaji,hivyo unaoption mbili kwanza weka mbolea nyingi ya samadi mmea upate madini yote uwe na afya,pili panda maua ya marigold upande shamban kwako yanafukiza hao root knot nematodes
Majani kujikunja ni effect ya mites ,hao unatibu dawa yoyote yenye abamectin mfank dynamec,balton abamectin ,abamectin etc,ila hizo dawa zina asili ya spirit usipige kukiwa na jua kali ,ukizingatia hayo unavuna peppers bila shida ndugu
Mkuu nashukur kwa ushaur wako mzur. Nilifatlia kuhusu kupanda malgold ila inasemekana malgold inabid ipandwe miez 2 had 3 kabla ya kuweka hoho. Miche yangu after 3 weeks natransplant. Je nikipanda wakati huu itasaidia.Okay mkuu pole sana ila unamatatizo rahisi saaanna hayo
Kunyauka unaweza kua sababu ya
1.nematodes
2.fusarium wilt(fungus)
3.bacterial wilt
Uzur umegundua wako ni root knot nematodes hao wanatibiwa / kuuliwa kwa furadan ila bahati mbaya imefungiwa sababu inakaa sana shamban mpaka kwenye tunda inaathir mlaji,hivyo unaoption mbili kwanza weka mbolea nyingi ya samadi mmea upate madini yote uwe na afya,pili panda maua ya marigold upande shamban kwako yanafukiza hao root knot nematodes
Majani kujikunja ni effect ya mites ,hao unatibu dawa yoyote yenye abamectin mfank dynamec,balton abamectin ,abamectin etc,ila hizo dawa zina asili ya spirit usipige kukiwa na jua kali ,ukizingatia hayo unavuna peppers bila shida ndugu
Marigold inatakiwa siku miche inaenda shambani nayo unaitransplant sema hujachelewa ndugu maana pili pili ushambuliwa saana ikianza kuzaa so still you have timeMkuu nashukur kwa ushaur wako mzur. Nilifatlia kuhusu kupanda malgold ila inasemekana malgold inabid ipandwe miez 2 had 3 kabla ya kuweka hoho. Miche yangu after 3 weeks natransplant. Je nikipanda wakati huu itasaidia.
Nasikia pia Muarobain (neem) inaweza saidia pia!
Tumbaku kawaida ina mosaic akiihamishia kwenye hoho ndio mwisho wa maelezo
Okay mkuu pole sana ila unamatatizo rahisi saaanna hayo
Kunyauka unaweza kua sababu ya
1.nematodes
2.fusarium wilt(fungus)
3.bacterial wilt
Uzur umegundua wako ni root knot nematodes hao wanatibiwa / kuuliwa kwa furadan ila bahati mbaya imefungiwa sababu inakaa sana shamban mpaka kwenye tunda inaathir mlaji,hivyo unaoption mbili kwanza weka mbolea nyingi ya samadi mmea upate madini yote uwe na afya,pili panda maua ya marigold upande shamban kwako yanafukiza hao root knot nematodes
Majani kujikunja ni effect ya mites ,hao unatibu dawa yoyote yenye abamectin mfank dynamec,balton abamectin ,abamectin etc,ila hizo dawa zina asili ya spirit usipige kukiwa na jua kali ,ukizingatia hayo unavuna peppers bila shida ndugu
Mkuu afadhali umegundua hilo. Hebu jaribu kutengeneza insecticides ya NICOTINICIDAL. Hii ni nzuri kwa kuwa inaokoa gharama kwa kutengeneza mwenyewe. Sumu hii hutokana na tumbaku na haina effect kwa mlaji.