Huu udadisi ni tabu tupu!

Huu udadisi ni tabu tupu!

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,434
Reaction score
17,861
najiuliza hapa kaswali kadogo... hawa wanadamu wa kwanza kabisa kufanya mapenzi.. je walijua matokeo yake ni nini?

kwanza walifundishwa na nani kugegedana?

walijuaje kuwa kugegedana ndiyo njia ya kuongeza wanadamu?

hmm!

ni udadisi tu..
 
Kwa nini usijiulize ni nini kinawafundisha mbwa, paka, kuku, samba, ng'ombe na hayawani wengine unaowajua wewe. Hata mimea inayo njia ya kugegedana ndo maana inachanua kwa majira na nyakati.
 
Conduct Research boss because those are logical Reasoning
 
Kwa nini usijiulize ni nini kinawafundisha mbwa, paka, kuku, samba, ng'ombe na hayawani wengine unaowajua wewe. Hata mimea inayo njia ya kugegedana ndo maana inachanua kwa majira na nyakati.

sasa mkuu hako kaswali si kapana sana? sasa najiuliza hawa viumbe wamejifunzia wapi?
 
Af unaambiwa sa hv utamu umebaki asilimia mbl tangu adam na eva walipoasi. Mwanzoni utamu ulikuwa 100%, ilikuwa ukigegeda leo unasikia utamu kama mwezi hivi. Huu tunaopata sasa tunachezea na zero point....unapungua kadri siku zinavyoenda
 
ha ha ha haaaa.. wewe ni shidaa..
 
""Na akamfundisha Adam majina ya vitu vyote, kisha akaviweka mbele ya Malaika, na akasema: Niambieni majina ya hivi ikiwa mnasema kweli.""
 
Af unaambiwa sa hv utamu umebaki asilimia mbl tangu adam na eva walipoasi. Mwanzoni utamu ulikuwa 100%, ilikuwa ukigegeda leo unasikia utamu kama mwezi hivi. Huu tunaopata sasa tunachezea na zero point....unapungua kadri siku zinavyoenda

Lol we umetisha
 
najiuliza hapa kaswali kadogo... hawa wanadamu wa kwanza kabisa kufanya mapenzi.. je walijua matokeo yake ni nini?

kwanza walifundishwa na nani kugegedana?

walijuaje kuwa kugegedana ndiyo njia ya kuongeza wanadamu?

hmm!

ni udadisi tu..

mi nahic lile tunda alilokatazwa baba etu adam ndio hii kitu ilipoanzia.
 
Af unaambiwa sa hv utamu umebaki asilimia mbl tangu adam na eva walipoasi. Mwanzoni utamu ulikuwa 100%, ilikuwa ukigegeda leo unasikia utamu kama mwezi hivi. Huu tunaopata sasa tunachezea na zero point....unapungua kadri siku zinavyoenda
Yaani joke ya hii posti iko kwa hii comment yako mkuu, nimecheka sana dah!
 
mi nahic lile tunda alilokatazwa baba etu adam ndio hii kitu ilipoanzia.

Kweli ni hapo lakini sasa huu usumaku sumaku wa mwanaume kugeuka geuka anapoona mwanamke kajazia nyuma unatoka wapi?

Kwanini nataka souce ya hii power ni ipi hasa?
 
we wakat unakua ni nani alikufundsha kuzin, these things come automatically since you are a human being, nyege ndo mwl.
 
Hii kitu Mungu aliiweka ndani ya mwanadam,ndio sababu ke anatumia muda mwingi sana kujipamba ili me amuone na mwisho wake ni kugegedana,utamu huo
 
Huko mnakoenda mtakuja kujikuta mnajitukana bure...mf tukikuuliza na wewe ulijifunza wapi au ulimwona nan ukaiga si itakua tabu.
 
""Na akamfundisha Adam majina ya vitu vyote, kisha akaviweka mbele ya Malaika, na akasema: Niambieni majina ya hivi ikiwa mnasema kweli.""

"Wakajibu Hatufahamu, Isipokuwa Wew Ndo Mjuzi Wa Yote" Shukran Ushahidi Tosha Kabsa!!?
 
Back
Top Bottom