Huu 'ubaridi' nitamwondolea vipi? Sitaki kumwacha.


kwangu mm bado ni mtu ambaye yuko very poor kwenye reasoning yake. huwez ukaja na uzi kama huu kisha ukatuekea na bandiko jingine natafuta mke wapili. ni wazi kwa mtu anatumia ubongo wake ipasavyo atagundua kwamba huyu anataka amshushe chini nyoka wake alombeba toka hajui ku do hadi hapa alipojua kwamba kuna moto na ubaridi na sasa anataka anyanyue sungura aondoke nae.

kumbe sungura ni mjanjaa habebeki kirahisi. muda mwingine hata nyoka huota jua jamani ili awe wa moto atii.
 
Ni kweli si tabia njema; ndio maana
Imenichukua zaidi ya miaka miwili kumshirikisha mtu yeyote jambo hili. Na kwa njia hii naamini haitamwathiri kwa vyovyote. Siwezi kudanganya kua sijawahi kua na uhusiano zaidi ya huyu, kuna wawili zaidi ya huyu maishani mwangu.
 
Mostly wazungu ndio wako cold,au ethopian na tutsi mkuu
ila wabantu huwa ni hot sana,au umetuletea shem wa kizungu?
 
Nipo wangu...nashangaa jamaa anamkataa wakati wamenza naye muda tu..
Wakubaliane tu kwenye baridi na joto....

hahahaahahah minekumisije hahahah huyo ni wake peke yakeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hahahaahahaha
 
Dada sikuelewi, elewi.

hunielewi?? mie napingana na huyu mtoa mada kaja hapa na mada mbili. moja kasema anataka mke wa pili sasa hapa kaja na mada mchumba wake wa baridi nikashangaa kwamba hata mke wa kwanza hana iweje atuambie anataka wa pili??

istoshe kajuaje kwamba huyu si mtamu?? ilihali amesema yeye ni beginner??
 

Kumbe jamaa mtambo aisee, ajui kwamba hapa ni home of greater thinker.
Alafu wewe gfsonwin ufai kuwa Askari, kwa jinsi ulivyomkomalia tu. Hatari
 
ishu ni kwamba umeleta uzi hapa ukhitaj mke wa pili ilihali huna hata mmoja sasa tukuelewe vp?? ungekaa kwanza ukasoma jamvi likoje sio kuja na nyuzi ambazo zina cancel each other

Si kweli. Uzi huo hata kuusoma bado, ndo nasikia kwako.
 
Ninavyojua joto la binadamu ni kwenye nyuzi joto 37 za sentigredi. Room temparature ni 25. Sipati picha itakuaje ndani ya maungo iwe chini sana ya hapo. Hebu tumia mbinu utuambie huko ndani ni nyuzi joto ngapi ili tufikirie jinsi ya kusaidia
 
Wewe ndo wabaridi, kwani ungekua wa moto ingepata moto pia.
Barafu ukiiweka kwenye baridi inaendelea kuwa ya baridi and vece versa also is true.
Pengine ni sahihi pia. Mabadiko kwangu ktk zaidi ya miaka miwili siajabu. Nahitaji msaada wa kunisaidia hata mie kwa ajili ya manufaa ya wote (sisi).
 
Kumbe jamaa mtambo aisee, ajui kwamba hapa ni home of greater thinker.
Alafu wewe gfsonwin ufai kuwa Askari, kwa jinsi ulivyomkomalia tu. Hatari

Sijaomba mke wa pili wala kusema mie ni beginner, sijui jambo hili linatoka wapi.
 
Mostly wazungu ndio wako cold,au ethopian na tutsi mkuu
ila wabantu huwa ni hot sana,au umetuletea shem wa kizungu?
Hahaa hapana kaka. Nim-bongo kabisa.
 
Daaah hata hili umeshindwa kulificha? Inasikitisha sana.
Tatizo ni kuingia kwenye mahusiano bila kujua hakuna mkamilifu!
Muda mwingine naulahumu ujinga wetu kuliko kutojua, inasikitisha sana!
 
hahahahaha daaah ebana umemaliza kila kitu mkuu...atamuoa nani sasa huyo enhhhh...hahahahahah
 
Vumilia tu na hiyo nonino yake ya baridi ukitafuta mwenye nonino ya moto hutakawia kushuka tena hapa kulalama "huyu wa sasa hivi ana nonino ya moto lakini hana mapenzi ya kweli kwangu halafu chupi mkononi yaani simuelewi kabisa nawaombeni ushauri wanajamvi, nifanye nini!?"

 
mimi huwa siamini kuhusu hii ya ubaridi na ujoto. japo nakubali kuna tofauti ndoo sana ya joto kati ya binadamu na binadamu. ila joto la mwili ni almost constant, naogpoa kukuuliza hapa kaka. sijui ndo nimeshauliza?
well, all guys help me. Ni kweli kuna tofauti ya joto ama hii ni fikra tu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…