mc bonm
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 243
- 245
Duu!!! tatizo kumbe mchina.Soma vizuri posti yangu. Linazuia apps zingine kujiupdate lenyewe linajiupdate tu.
not but pray.
Duu!!! tatizo kumbe mchina.Soma vizuri posti yangu. Linazuia apps zingine kujiupdate lenyewe linajiupdate tu.
Unakuta umenunua vi MB 30 au 40 unataka usome email au messages za muhimu whatsapp au mawasiliano muhimu lenyewe linaanza kuji update linakomba viMB kabla hujafanya ulichokusudia unakuta vumeisha. Umedisable autoupdate kwenye settings lakini lenyewe linakiuka matakwa yako. Halafu halimalizi miezi 2 linaji upate tena. Kibaya zaidi likishajiupdate ukiangalia hakuna jipya liko vilevile aaarrrrgh!
Disable hiyo play store... Ukitaka kudownload app unai-enableUnakuta umenunua vi MB 30 au 40 unataka usome email au messages za muhimu whatsapp au mawasiliano muhimu lenyewe linaanza kuji update linakomba viMB kabla hujafanya ulichokusudia unakuta vumeisha. Umedisable autoupdate kwenye settings lakini lenyewe linakiuka matakwa yako. Halafu halimalizi miezi 2 linaji upate tena. Kibaya zaidi likishajiupdate ukiangalia hakuna jipya liko vilevile aaarrrrgh!
Untick kwenye notification. Apps zingine kama Facebook, instagram n.k hautaona huu upuuziNimefanya hivyo liplaystore lina kiburi tu.
Ahsante kwa kuendelea kutumia huduma yetu ya playstore store ili kujitoa na huduma chukua simu yako nenda SOFTWARE UPDATE then weka OFF kitufe cha "download updates automatimatically". Hapo utakuwa umejiondoa kwenye kadhia ya Bundle zako kuisha bila ya matumizi sahihi. Ahsante kwa kutumia PLAYSTORE.Acha
Acha uzushi wewe
[emoji3] [emoji3] [emoji1787] [emoji1787]Ndugu mteja pole sana kwa kadhia uliyoipata kwa kutumia huduma yetu ya playstore, tunapenda kukujulisha kuwa mafundi wetu wanaendelea kutatua tatizo hili, tutakapokuwa tayari tutakujulisha kwa njia ya ujumbe mfupi. Karibu tena,
HahhahaaaaNdugu mteja pole sana kwa kadhia uliyoipata kwa kutumia huduma yetu ya playstore, tunapenda kukujulisha kuwa mafundi wetu wanaendelea kutatua tatizo hili, tutakapokuwa tayari tutakujulisha kwa njia ya ujumbe mfupi. Karibu tena,
Pole sana. Nenda kwenye setting ingia restrict background data hii itafanya utumie data kwenye application uliyofungua tu sio kosa la playstore ni wewe. Pole sanaUnakuta umenunua vi MB 30 au 40 unataka usome email au messages za muhimu whatsapp au mawasiliano muhimu lenyewe linaanza kuji update linakomba viMB kabla hujafanya ulichokusudia unakuta vumeisha. Umedisable autoupdate kwenye settings lakini lenyewe linakiuka matakwa yako. Halafu halimalizi miezi 2 linaji upate tena. Kibaya zaidi likishajiupdate ukiangalia hakuna jipya liko vilevile aaarrrrgh!
Bila shakaunatumia Tecno?
hizo ndio zinaongoza kwa kujiupdate yaan hadi nimebadilisha simuNunua Iphone uachane na android
Mb 40 ndogo sana hizo email na message unazisomaje utailaumu playstore bure.Unakuta umenunua vi MB 30 au 40 unataka usome email au messages za muhimu whatsapp au mawasiliano muhimu lenyewe linaanza kuji update linakomba viMB kabla hujafanya ulichokusudia unakuta vumeisha. Umedisable autoupdate kwenye settings lakini lenyewe linakiuka matakwa yako. Halafu halimalizi miezi 2 linaji upate tena. Kibaya zaidi likishajiupdate ukiangalia hakuna jipya liko vilevile aaarrrrgh!