Huu ubabe wa playstore unanikera sana

CORAL

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
2,789
1,782
Unakuta umenunua vi MB 30 au 40 unataka usome email au messages za muhimu whatsapp au mawasiliano muhimu lenyewe linaanza kuji update linakomba viMB kabla hujafanya ulichokusudia unakuta vumeisha. Umedisable autoupdate kwenye settings lakini lenyewe linakiuka matakwa yako. Halafu halimalizi miezi 2 linaji upate tena. Kibaya zaidi likishajiupdate ukiangalia hakuna jipya liko vilevile aaarrrrgh!
 
Acha
Ndugu mteja pole sana kwa kadhia uliyoipata kwa kutumia huduma yetu ya playstore, tunapenda kukujulisha kuwa mafundi wetu wanaendelea kutatua tatizo hili, tutakapokuwa tayari tutakujulisha kwa njia ya ujumbe mfupi. Karibu tena,
Acha uzushi wewe
 
nenda setting kwenye playstore halfu disable automatic updates,,,
mbona simple tu!!!!
 
Back
Top Bottom