Huu siyo utani... Mafuta wiki ijayo 3000 kwa lita???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu siyo utani... Mafuta wiki ijayo 3000 kwa lita????

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by komedi, Mar 10, 2011.

 1. komedi

  komedi JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani jana nimeona huko nyumbani bongoland vigogo wa serikalini wananunua petroli wanajaza fulu tenki, halafu wanajaza kwenye magaloni wanakwenda nayo nyumbani. Leo kamera zangu nilizozitegesha huko zinaonyesha mafuta yameisha kwenye vituo mbalimbali vya mafuta.

  Wanajamvi serikali inataka kubinafsisha Ewura? Au wenzetu wana taarifa gani? Ama barabara ya meli za kuleta mafuta imefungwa kwa matengenezo????

  Jiandaeni kutumia mkojo kwenye magari yenu.

  From: www.JFudaku.net.co.com.org.tz.go.gov.loliondo
   
 2. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Sina uhakika kama una akili timamu.hata ivo napita tu sidhani kama ntarudi.
   
 3. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Watoto wa chekechea wanaruhusiwa humu jamvini ama?
   
 4. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  ana njaa huyu
   
 5. j

  john312 New Member

  #5
  Mar 10, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe ni mwehu kabisa,una umri gani labda tujue kwanza pengine tatizo umri
   
 6. N

  NNYAMBALA Member

  #6
  Mar 10, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hao wanaojaza mafuta na kwenda nayo nyumbani wanataka kuleta balaa la moto baada ya hayo mafuta kulipuka, maana cku hizi Watu wanatumia sana mishumaa, c unajua habari ya mgao wa umeme.
   
 7. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  sawa 2uu kwan nauli nayo c buku au hujui kama unagal usitoe lifit
   
 8. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
 9. K

  Kazabuti Member

  #9
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haitatokea kijana unahitaji matibabu ya babu kijana,
  toka lini mkojo ukawa nishati kimiminika may be nishati gasi inawezekana
   
 10. komedi

  komedi JF-Expert Member

  #10
  Mar 10, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  IQ ya ugoro itaruhusiwa kweli? yaani tukiona pamba tunasema mmea umezeeka kwa kuwa una nywele nyeupe?
   
 11. komedi

  komedi JF-Expert Member

  #11
  Mar 10, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  4 posts old mpaka leo? Au ndo ndumila kunne?
   
 12. komedi

  komedi JF-Expert Member

  #12
  Mar 10, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nakupa senksi tena kwa kutoa huu, hata huu unafaa kuwa nishati mbadala kwenye gari, umekunywa nini maana kama harufu ya Loliondo hivi!!!!!
   
 13. komedi

  komedi JF-Expert Member

  #13
  Mar 10, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mh!!! bora we umesema, una hamu ya kupakua nini?
   
 14. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #14
  Mar 10, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Thread yako inafanana na jina lako!!! Mtoto wa chekechea utamjua tu:A S 13:!!
   
 15. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #15
  Mar 10, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  Asante kwa taarifa njema, sikujua kabla kuwa mkojo ni nishati mbadala!!!
   
 16. komedi

  komedi JF-Expert Member

  #16
  Mar 10, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu + mtoto wa chekechea = ''shikamoo mwanangu''
   
 17. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #17
  Mar 10, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,816
  Likes Received: 10,106
  Trophy Points: 280
  Hahahhaaa, mkojo huuu huu au mwingine? basi EWURA hawana kazi tena
   
Loading...