🤣😂😂😂 rudi au ukumbuki hapo tenaHuu sio uungwana hata kama nimelewa nimeagiza ya kuondoka nayo hom, nafika hom nakuta nyama iko hivi , ustaabu gani huu? kwahiyo Nile mindizi nikalale nyama imekua mkaaView attachment 3480749View attachment 3480750View attachment 3480751
Walevi bwana🤣🤣🤣
Bila shaka ni jinsi ulivyotoa oda yako,kavu na ndizi mbili,ikauke sasa amekukaushia unalia!Ila pole na mlo mwema.Huu sio uungwana hata kama nimelewa nimeagiza ya kuondoka nayo hom, nafika hom nakuta nyama iko hivi , ustaabu gani huu? kwahiyo Nile mindizi nikalale nyama imekua mkaa
View attachment 3480749View attachment 3480750View attachment 3480751
Tafuna nyama hiyo hauna meno nini?Huu sio uungwana hata kama nimelewa nimeagiza ya kuondoka nayo hom, nafika hom nakuta nyama iko hivi , ustaabu gani huu? kwahiyo Nile mindizi nikalale nyama imekua mkaa
View attachment 3480749View attachment 3480750View attachment 3480751
Kuwaishwa mbinguni vp ?Tatizo la pombe hata uvae suti unakosa heshima na kudharauliwa hata na wauza mishikaki ya panya, ila utaheshimiwa na walevi wenzako na malaya maana utakuwa mteja wao mzuri sana tofauti na ukiwa hujalewa, nakutaki safari njema uepukane na kuwahishwa mbinguni.