Huu Sio Udhalilishaji Wanawake?

sokwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
2,022
Reaction score
1,065
Mila Kama hizi sio udhalilishaji wa wanawake?
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1404120620.880526.jpg
    20.2 KB · Views: 3,137
So long as binadamu wote waliumbwa uchi, na siku zote za maisha yao hutamani kuendelea kubaki uchi

Hakuna udhalilishaji wowote hapo
 
kuna dada humu ana maziwa hayasimi mpaka apige deki kiuswazi akiwaona atapatwa na wivu
ndio humu humu jf
 
So long as binadamu wote waliumbwa uchi, na siku zote za maisha yao hutamani kuendelea kubaki uchi

Hakuna udhalilishaji wowote hapo

Can you show ur tits like that? Why don't you walk naked then?
 
kuna dada humu ana maziwa hayasimi mpaka apige deki kiuswazi akiwaona atapatwa na wivu
ndio humu humu jf

Sasa mkuu unataka ugomvi na mtu! Mimi simo kabisa.
 
hata wewe unachangia kwa kiasi kikubwa cha udharirshaji kwa kuleta picha hii, ungekua na busara ungeleta uzi ambao unapinga uzalilishaji, kweli akili zako ni kama jina lako

Ingekuwa hivyo kusenguwa na wapiga picha vitani, and please watch ur language! Don't try to drag me into ur stupidity, got it?
 
Ingekuwa hivyo kusenguwa na wapiga picha vitani, and please watch ur language! Don't try to drag me into ur stupidity, got it?
toa lugha zako za kuuunga unga

wewe ni zaidi ya janga

cc joyce kiria
 
kwa mimi kwa kuwa ni utamaduni wao siyo udhalilishaji... ni jambo nzuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…