huu sio mshikaki ila mchemsho

huu sio mshikaki ila mchemsho

Konaball

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
2,949
Reaction score
1,943
hii ni hatari ingawa wenyewe hawajali
 

Attachments

  • mchemsho.jpg
    mchemsho.jpg
    54.9 KB · Views: 772
Hebu nambie umekutana nao wapi yaani uelekeo wa wapi ili hatua zichukuliwe mapema kuepusha ajali
 
Kuna moja iliwekwa humu ilikuwa na Watu8 kumbe hii ni 9
 
Last edited by a moderator:
Hatari sana na bora waendelee njia za vichakani kuliko barabara kuu itakuwa hatari mara mbili zaidi
 
Back
Top Bottom