Huu sijui tuite nini ????

Huu sijui tuite nini ????

hahahahah!
here comes Eiyer again """"""wanawake wa siku hizi ni wakatili?????""""
kama wazamani walikuwa na huruma basi wa sikuhizi wana genes za kiume ambazo ni katili.
tha's simple logic broda!
 
Last edited by a moderator:
Neno "siku hizi" ni kielezi na limewekwa kuonesha nyakati. Pengine mleta mada hakuwa akiyashuhudia hayo aliyoyaona nyakati za kale au hata hajawahi kusimuliwa hayo.
Pamoja na kwamba nafsi yoyote kati ya kike au kiume inaweza kuwa na hulka ya ukatili, lakini tabia hiyo haipendezi haswa ikifanywa na mwanamke tena kwa mtoto mdogo. Wahenga wanasema, "uchungu wa mwana aujuaye mama".

Nakubaliana nawe, mwanamke mkatili anatisha zaidi ya mwanaume mkatili.
 
mwacheni jamani anamfundisha mtoto!! kwanza toto lenyewe jinga halijui tofauti y chumvi na sukari!! .....
 
Back
Top Bottom