Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,920
Wazazi (hasa wanawake)nyakati za nyuma walihesabiwa kuwa ni wenye huruma kwa watoto.
"
Wanawake ambao walihesabiwa kuwa na upendo kwa watoto kwa sababu nyingi ikiwemo ya kubeba ujauzito miezi 9 na uchungu wa kujifungua.
"
Pia ilielezwa kimaumbile wanawake ni wenye huruma kulinganisha na wanaume.
"
Hayo yote yanatoweka nyakati hizi.
"
Leo asubuhi nimeshuhudia tukio la kutisha baada ya dada mmoja aliekua anaishi na mtoto wa dada yake kumuadhibu nusu ya kumtoa roho.
"
Mtoto huyo mwenye umri wa miaka minne aliadhibiwa mpaka akatoa haja kubwa na kuamriwa aile kwa kosa la kuleta chumvi badala ya sukari.
"
Binti huyu ambae anaishi na mtoto huyo baada ya wazazi wa huyo mtoto kufariki kwa ajali,majirani waliingilia kati baada ya kuona hali ya adhabu kuwa kubwa.
"
Dada huyu alipewa kichapo na majirani na watu wengine lakini aliokolewa na askari aliekua anapita barabarani.
"
Huyo dada ana mtoto mmoja na ana umri wa miaka 30!Na inasemwa kuwa yule dada ni mkatili sana kwa watoto anaoishi nao.
"
Sijui nini kiliendelea baadae kwa kuwa niliondoka eneo hilo
"
Ukatili huu unatoka wapi?
"
Fikiri sana kuhusu wanao na usalama wao pindi utakapotengana na mwili!