Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,094
- 62,014
Ukisoma maandiko ya kale, utaona watu wazamani walivyoishi kimahusianoKwahiyo kuwa na michepuko ndio kuwa busy na mambo ya Mungu?
Inatokea tu, wanakuwa wanaishi mikoa tofautiDah! kuwa na wanawake wawili kwa wakati mmoja ni kazi sana . Nimeshindwa hili kabisa, wenzangu sijui mnawezaje
Bado kazi sana. Ila mnaoweza hongereni ππInatokea tu, wanakuwa wanaishi mikoa tofauti
Inatokea tu, wanakuwa wanaishi mikoa tofauti
Si nyingi, kama laki kwa bus (go/return), ila akifika kuna gharama zingine zaidiKwani naul sh ngap
Mzee nuts zimepindaKwahiyo kuwa na michepuko ndio kuwa busy na mambo ya Mungu?
πππ mbona unazidi kunizeesha kwa salamu zako![emoji16] Anko Shikamoo! Heshima kwako [emoji119]
Kweli mkuu, wanatumia udhaifu wetu kufanikisha mambo yaoWizi kabisa.....
Itabidi nitumie hii njia mkuuPole mzee... kama sio hawa wanawake wamekuzeesha, sijui itakuwa ni nini. Dah!
Kikubwa hapa piga trip wewe...kashushe mzigo. Alafu rudi ukiwa mwepesi.
Ichukulie kama vacation flani ivi.
Yaaaani Equation x unakiribia kuwa mzee?
Kutokana na umri wangu wa kukaribia kuwa mzee,
Wanasema wazee wakichanganyikana na vijana, na wao wanakuwa vijanaYaaaani Equation x unakiribia kuwa mzee?
Kwa hizi nyuzi zako??
Na yule mwingine Mdukuzii eti ana 40+ πββοΈ
Kwa hiyo kweli ule ukweliiiiii unakaribia uzee?Wanasema wazee wakichanganyikana na vijana, na wao wanakuwa vijana
Wastani tu, mkuu bado meno yana nguvuKwa hiyo kweli ule ukweliiiiii unakaribia uzee?