ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,048
- 6,199
Ndio hamchelewi kutumia hata SMG/AK 47, hoja zinapowakauka.Kaskazini watoke kiulaini alafu shinyanga ndo watumie vitisho? Inaingia akilini kweli?
Ndio hamchelewi kutumia hata SMG/AK 47, hoja zinapowakauka.Kaskazini watoke kiulaini alafu shinyanga ndo watumie vitisho? Inaingia akilini kweli?
Vitisho ndo style ya uongozi wa sasa. Ruling by intimidationwameanza kutishia watu kwa nguvu sasa
kaskazini wamenunuliwaKaskazini watoke kiulaini alafu shinyanga ndo watumie vitisho? Inaingia akilini kweli?
Kwanini watanzania mnapenda kujitoa ufahamu?Sasa kwa fikra zako ushahidi ukiwepo halafu nani ajitie kitanzi?Acheni unafiki.Una ushahidi Mkuu?
Kwa ushahidi wa kutaja majina yaeezekana kuna ukweli! Tutasikis na kuona mengi kabla ya 2020!Una ushahidi Mkuu?
Umeanza kuzoeleka kuwa kwenye hoja nyingi za kisiasa comment yako huwa ni hiyo hiyo! Akili yako imekomea hapo!Majizi chadema
Nani aondoke kwa amani hiyo 2020?we unaumwa wewe. Hako ka Saccos kenu ndio kachukue nchi? Hebu nipangie safu ya mawaziri wenu kwanza.Wanabodi,
Wasalaam,
Huko Mkoani Shinyanga mwenyekiti wa Wilaya wa Chama cha mapinduzi (CCM )wilaya ya Shinyanga Abouh Gulamu akiwa na timu yake amewafuata baadhi ya wenyeviti wa mitaa wa CHADEMA na kuwataka wahamie CCM kwa lazima na wasipofanya hivyo yatawakuta yaliyomkuta mbunge wa Arumeru Mashariki Mh. Joshua Nassar.
Wenyeviti waliofatwa ni pamoja Mh. Kerenge Nyakaganda ambaye ni mwenyekiti wa mtaa wa Banduka na Mh. Ayoub Daniel Ayoub mwenyekiti wa mtaa wa Mapinduzi wote wanatoka kata ya Ndala. Pia wajumbe wa serikali za mitaa ambao ni Robert Chacha, Haji Kija, Deo Masanja pamoja na Perepetua James. Viongozi hawa wamepewa ahadi nyingi na kama hawataondoka kwa hiari kuna vitisho pia. Hata hivyo viongozi hao wamegoma kusaliti maamuzi ya wananchi waliowachagua na kwamba wataendelea kuwatumikia. Wamesema dhambi ya usaliti kwa wananchi ina hukumu sawa na dhambi ya Yuda Iskarioti hivyo watabaki kuwatumikia wananchi wao wakiwa CHADEMA.
CCM MMEKATALIWA NA UMMA ACHENI VURUGU MWONDOKE KWA AMANI 2020.
Wanasaliti Chama Kwa vipande 30 vya Fedha? Basi hao jamaa hatari kweli kweli na hawastahili kulinda bucha.kaskazini wamenunuliwa
Hicho ndo unachokiogopa wewe kupoteza dola na sasa unatumia njia chafu na safi kukikilinnda na umeaminishwa ni cdm pekee ndo aweza kwa vile mkiti wake hanunuliki kama yule prof au yule mzee wa parole ya jelaNasikia kuna kusanyiko Ufipa watu wanalishana Yamini. Kama kweli wananunulika basi wanachama wa hicho chama hawastahili hata chembe kupewa dhamana ya dola. Mtu anakubali kununuliwa Kwa vipande 30 vya Fedha halafu umpe kuongoza dola si atauza nchi na watu wake.
Hata hivyo sishangai Sana kwani hata EL alinunua ugombea ndani ya CHADEMA. Wananunulika; CHADEMA ni kusanyiko la Mayuda Eskariote. Chadema wote ni Yuda kuanzia Mwenyekiti Hadi mjumbe was mtaa.