Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,683
- 272,541
CCM ya sasa tegemeo lao kuu ni vitisho kwa kutumia polisi .Una ushahidi Mkuu?
CCM ya sasa tegemeo lao kuu ni vitisho kwa kutumia polisi .Una ushahidi Mkuu?
Ukitoa ushahidi unageukwaKwanini watanzania mnapenda kujitoa ufahamu?Sasa kwa fikra zako ushahidi ukiwepo halafu nani ajitie kitanzi?Acheni unafiki.