Huu ni wizi mpya NMB ama nini shida?

Huu ni wizi mpya NMB ama nini shida?

Hapo ni error tu mkuu wamejichanganya wenyewe, kwa kuwa una ushahidi wa slips zako, na pia data zipo kwenye system utaenda kuwaonyesha na watarekebisha, japo ulitakiwa uwahi mapema tu ulipoanza kuona deni linaongezeka badala ya kupungua
Sawa mkuu..
 
Salary Sleep/Salary Lala usingizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nenda NMB utapata majibu yote tena wachimbe mkwara.
 
Si uende kwao Mkuu...

Mambo mengine bana..
 
Hilo sio tatizo la NMB nenda Kwa HR atakuambia kama kuna marekebisho ya mkopo wako yamefanyika HR ndiye anayehusika kuingiza Deduction na wala sio benki
 
Hizo ni erro tu mpendwa,ww nenda tawini kwao ukazungumze nao,mimi ilishanitokea baadala ya kuandika m7.5 wakaandika m75 kwa miezi mingi tu mwisho wa siku nikaamua niende wao wenyewe walishangaa sana na wakarekebisha tatizo hilo.
 
Back
Top Bottom