Huu ni wakati wa Anna Mghwila

Huu ni wakati wa Anna Mghwila

ndyana

Senior Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
152
Reaction score
28
nchi ilikofikia, wakati huu ni wa kiongozi mzalendo, jasiri na mchapa kazi. mwenye sifa hizo ni mama anna mghwira
 
nchi ilikofikia, wakati huu ni wa kiongozi mzalendo, jasiri na mchapa kazi. mwenye sifa hizo ni mama anna mghwira

umeogopa hizo picha? ...............sa mbona umikimbia .....
Anna Mghwira anafaa pia. maana ata-divide % za kura nyingi sana
 
Wagombea wengine kama akina Hashim Rungwe, Anna Mghwira, n.k. bora wangegombea tu ubunge au udiwani. Kwenye urais hawatoshi.
 
Back
Top Bottom