Mpandafarasi
Member
- Dec 7, 2008
- 57
- 11
..........YOU ARE DEAD WRONG, YOU DONT NEED KUVUNJA MSD UNLESS WEEWE NI MHINDI UNATAKA KUWANEEMESHA MA DMO, DT NA WAFAMASIA MATUMBO YAO
I wish you knew how much MSD has contributed to safeguard at least most of the health supply system ya nchi hii
NINGEKUELEWA KAMA UNGESEMA UONGOZI ULIOPO UKIANZIA NA BODI UBADILISHWE
..........YOU ARE DEAD WRONG, YOU DONT NEED KUVUNJA MSD UNLESS WEEWE NI MHINDI UNATAKA KUWANEEMESHA MA DMO, DT NA WAFAMASIA MATUMBO YAO
I wish you knew how much MSD has contributed to safeguard at least most of the health supply system ya nchi hii
NINGEKUELEWA KAMA UNGESEMA UONGOZI ULIOPO UKIANZIA NA BODI UBADILISHWE
MSD isivunje lakini ipate mshindani,ukiritimba umezidi.hospitali za serikali zinakosa gauze kwa zaidi ya mwezi!gloves zinaisha ?!
Na-Kifikiria Kwa Kiwango cha Tumbo Ni Hatari Zaidi!Sijawahi kuona MSD imefanya Vizuri na Lengo la Kuwa na Mfumo wa Central Medical Store Ume-Fail na Ndo mana siipendi MSD!Hao wahindi na Ma-DOMs,DTs na Wafamasia na Matumbo yao ni Majungu yako!Cha Uhakika Vituoni Dawa Hazipo Ilhali Zinaharibikia Bohari ambayo Lugha ya OS imezoeleka!
Hao Wahindi wanapata wapi dawa na MSD wanazikosa!Mie sifikiirii kiwango cha Tumbo!Ila Ukubwa wa Tatizo Nafahamu na nimehangaika nao ndio mana nimeshangaa Dawa hatupati Wakati Zinaharibika!
Kama nawe ni Nishemu ya Sisi Kukosa Dawa Uvuliwe gamba na Kingereza chako cha Ugoko!
Nchi hii ina nini? watu wanapoteza maisha huko vijijini kwa kukosa dawa wakati dawa zinaachwa ziharibike kiasi hicho. Shame on them
tusilalamikie MSD kwakuwa na wao wana mipango yao ya kazi ya mwaka mzima, sasa wameandaa budget wamenunua dawa kutokana na mahitaji na wakati huo huo Serikali imepokea msaada wa dawa toka kwa wafadhili na labda zinazokaribia kutumika (mambo ya misaada!) Wanasema peleka Bohari Kuu zikatunzwe, sasa hapa nani mwenye makosa. Hiyo kamati ya bunge ingetakiwa ifahamu kwa undani tatizo lipo wapi tusije wahukumu na wao wanatafuta cheap popularity,tena ni iaongozwa na wabunge wa CCM ambao wanatakiwa wasupport mkuu wao alivyokua anatoa ahadi kwenye uchaguzi uliopita
Kilichabainisha Si Wabunge ni Riport ya CAG Kaka!
MSD kama taasisi iliyonajukumu la kuhifadhi dawa inategemewa kwamba kiasi fulani cha dawa zitafikia mwisho wa matumizi zikiwa bado hazijasambazwa. Dawa ambazo nazizungumzia ni zile ambazo pamoja na kuwa na matumizi madogo lakini ni muhimu kuwepo kwenye hifadhi. Pia zipo dawa ambazo muda wake wa matumizi (shelf life) ni mfupi mfano (miezi 24). Dawa hizi pia zinaingia kwenye kundi la dawa ambazo uwezekano wa kuharibika zikiwa kwenye hifadhi ni mkubwa.Utendaji mbovu wa Bohari kuu la Madawa Tanzania(MSD) ndio chanzo kikukwa cha Uzorotaji wa Huduma za Afya katika Mahospitali,Vituo vya Afya na Zahanati zote za Serikali Tanzania.Hii ni kwa sababu Kisheria wao(MSD) ndio waliopewa jukumu la Kusambaza Dawa na Vifaa tiba ktk Hospitali Zote za Serikali!
Ili Kupewa Nguvu Kifedha hawa MSD Hupewa fedha yote ya Iliyotengwa ktk bajeti ya dawa ya Serikali katika mwaka husika moja kwa moja toka hazina kuu ya Taifa,tena hupewa kwa mtindo wa malipo kabla(Pre-Paid),Juu ya hapo wakijitokeza wahisani wa nje wakitoa Grant ya Mabilioni ya Shilingi kwa ajili ya Madawa kwa ajili ya Hospitali zetu serikali nayo pia Hutumbukizwa MSD!
Wana JF embu tutengeneze taswira juu ya MSD,Kwa kuchukua Mabilioni yote ya Budget ya Madawa na Vifaa tiba jumlisha fedha za Wahisani kila mwaka tangu MSD ianzishwe!Kuna sababu ya Kukosa Dawa na Vifaa Tiba!(Tunapozungumzia Vifaa tiba ni kama Gloves,Mabandeji na Mazagazaga tofauti na Dawa!)
Maajabu ni Kwamba MSD wakati wote haina madawa ya Kutosha!Wimbo wao ni OS(out of stock) ndio kisingizio chao.Matokeo yake hospitali za serikali nazo wimbo wa dawa hakuna ndio uliozoeleka na Watanzania wenzetu wamepoteza na wataendelea kupoteza maisha kwa Kukosa Madawa na fedha ya Kununulia Madawa kwenye Maduka Binafsi ambayo mengi yake yanamilikiwa wa Waajiriwa wa Wizara ya Afya katika ngazi mbalimbali kuanzia wauguzi hadi Madakitari wanafanya kazi kwenye Hospitali zisizo na Dawa!Swala la kuambiwa nenda kanunue dawa duka flani hapa hospitalini hazipo nalo tulishaga lizoea muda,Lakini hili jipya la Dawa za 8bilioni kuoza MSD wakati ndugu zetu wanaangamia kwa kukosa dawa Mahospitalini Katu Halikubaliki,Halizoeleki,Halivumiliki na ni Ngumu "Kumeza"
Hizi 8Bilioni zilipwe na Uongozi mzima wa MSD na Na Wizara ya Afya Imulikwe katika hili kwani MSD ipo chini yao na Dawa Zinapokosekana huku zinaozea Walikuwa Wapi?!Tupige Siasa kwenye IPTL,Richmond,Dowans na Symbion Lakini si kwa Afya za Watanzania!
Malalamiko ya Kukosa Dawa na Vifaa tiba ni zao la Kuubeba Uongazi Hafifu wa MSD na Kuendekeza Ukuritimba kwenye Madawa!
Swali,Je Ni nani kati yetu akipewa fursa na Upendeleo wa kupewa Budget yote ya Madawa na Vifaa tiba ya Serikali kwa mwaka mzima wa fedha na hapa Tunazungumzia Zaidi yaShilingi 45Bilioni za KiTanzania plus Michango ya Wahisani afu ufungue duka la madawa uuze Kibiashara na Faida apatayo abaki nayo kwa Sharti Moja Dawa zisikauke Mahospitalini atashindwa!Labda wengine si MSD!Hili nalo Janga La Kitaifa
Nawasilisha
KWELI KABISA MKWECHE... YAWEZEKANA MIMI NI MKWECHE WA MAWAZO NA KIINGEREZA CHANGU
Hujui mfumo, huelewi wahindi wanatoa wapi dawa, hujui documents za kuonyesha product sources kama zikihitajika kwa government facilities zilizosource dawa kwenye private sources zinatengenezwaje, hujui main actors wa tanzania supply system, unajaribu kuwa emotional na kiingereza changu cha ugoko
MSD is not a central medical store, it is a medical store department... in a decetralised health system, players ni wengi sana kuanzia mtumiaji, famasi, doctor, administrators, stock managers, transporter, community funds, suppliers (MSD ni major), wizara ya afya na hazina.
MSD is a strategic organization; tatizo si MSD kama shirika, tatizo ni waliopewa dhamana ya kuongoza na kuintegrate roles za MSD na clients wake ambao kwa upande mmoja ni suppliers, na upande mwingine ni serikali, vituo vya afya na wagonjwa
kuna siku utaelewa hasara za kuvunja MSD, ila kupata mshindani wa MSD hakuna hasara
BTW, umeshawahi kujua price variation ya paracetamol tu?? basi ni zaidi ya asilimia 1000
....ugoko unawasha