amani iwe nanyi!
.
ndugu zangu kuna hivi vihereni vya puani, dah yaan mdada akivaa nakosa kabisa ile kuvutiwa kukaa nae hata kupiga story tuu, yaan akinipikia naweza kabisa nisile alichokipika, kuna mama nilikua mteja wake mzuri sana wa chakula chake, kuna binti mzuri tuu alimleta, aisee akaja kutoboa pua, nimeshindwa kabisa kufika pale, au nina tatizo binafsi
,
.
.
wadada hua mnafurahia urembo huu?