Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,208 Reaction score 829,198 Oct 27, 2024 #1 Mzee huko Facebook alipost Uzi wa wanawake ambao amewahi kulala nao, kama 30 na zaidi
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,208 Reaction score 829,198 Oct 27, 2024 Thread starter #2
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,208 Reaction score 829,198 Oct 27, 2024 Thread starter #3
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,208 Reaction score 829,198 Oct 27, 2024 Thread starter #4
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,065 Reaction score 111,659 Oct 27, 2024 #5 Ni ushamba haswa
DR Mambo Jambo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 12,642 Reaction score 28,485 Oct 27, 2024 #6 Duh Huu Ni ujinga Pro Max Ninahisi Ujana wake Hakuwahi kupata Vitu kama hivyo
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,208 Reaction score 829,198 Oct 27, 2024 Thread starter #7 Half american said: Ni ushamba haswa Click to expand... Mmoja tu ndio kabinti sawa na mjukuu wake
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 35,798 Reaction score 47,086 Oct 27, 2024 #8 DR Mambo Jambo said: Duh Huu Ni ujinga Pro Max Ninahisi Ujana wake Hakuwahi kupata Vitu kama hivyo Click to expand... Kabisa, Mzee kajidhalilisha
DR Mambo Jambo said: Duh Huu Ni ujinga Pro Max Ninahisi Ujana wake Hakuwahi kupata Vitu kama hivyo Click to expand... Kabisa, Mzee kajidhalilisha
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,208 Reaction score 829,198 Oct 27, 2024 Thread starter #9 DR Mambo Jambo said: Duh Huu Ni ujinga Pro Max Ninahisi Ujana wake Hakuwahi kupata Vitu kama hivyo Click to expand... Halafu mavazi yake hayaendani na hizo picha
DR Mambo Jambo said: Duh Huu Ni ujinga Pro Max Ninahisi Ujana wake Hakuwahi kupata Vitu kama hivyo Click to expand... Halafu mavazi yake hayaendani na hizo picha
Ngurukia JF-Expert Member Joined Feb 25, 2023 Posts 5,942 Reaction score 22,250 Oct 27, 2024 #10 Kila mtu anajivunia accomplishment yake maishani.
Kalaga Baho Nongwa JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 11,313 Reaction score 25,816 Oct 27, 2024 #11 Kuna jamaa yetu tuko chuo ndo ulikuwa mtindo wake huu. Anawaweka status 😂
pigzz JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 237 Reaction score 381 Oct 27, 2024 #12 Mkuu hil tatizo la afya ya akil n mungu ATUSAIDIE
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,065 Reaction score 111,659 Oct 27, 2024 #13 Mshana Jr said: Mmoja tu ndio kabinti sawa na mjukuu wakeView attachment 3136539 Click to expand... Huyo mzee sio mzima
Mshana Jr said: Mmoja tu ndio kabinti sawa na mjukuu wakeView attachment 3136539 Click to expand... Huyo mzee sio mzima
Mr IQ JF-Expert Member Joined Jun 23, 2015 Posts 1,074 Reaction score 1,455 Oct 27, 2024 #14 Akili yake ndogo, Mzee wa ovyo
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,434 Reaction score 17,862 Oct 27, 2024 #15 nasubiri picha 30 ndio niongee zaidi
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,208 Reaction score 829,198 Oct 27, 2024 Thread starter #16 Kalaga Baho Nongwa said: Kuna jamaa yetu tuko chuo ndo ulikuwa mtindo wake huu. Anawaweka status 😂 Click to expand... Duh
Kalaga Baho Nongwa said: Kuna jamaa yetu tuko chuo ndo ulikuwa mtindo wake huu. Anawaweka status 😂 Click to expand... Duh
Koschei JF-Expert Member Joined May 13, 2023 Posts 451 Reaction score 749 Oct 27, 2024 #17 😁Acha mzee ale pensheni kwa raha zake
Deinstein 01 JF-Expert Member Joined May 12, 2024 Posts 2,087 Reaction score 3,916 Oct 27, 2024 #18 Dah! kumbe sio tu watoto wa 2000 bali hata wazee wa 2000 nao wanashida.
Deinstein 01 JF-Expert Member Joined May 12, 2024 Posts 2,087 Reaction score 3,916 Oct 27, 2024 #19 Sidhani kama watoto na wajukuu wake nao watakuwa waaminifu.
walikuyu JF-Expert Member Joined Jul 27, 2018 Posts 960 Reaction score 2,055 Oct 27, 2024 #20 Uyo mzee ni mpumbavu kiwango cha lami hana akili atakuwa na ugonjwa wa afya ya akili