Huu ni ushamba au ujanja?

Agogwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
2,742
Reaction score
3,012
hii stail ya vijana wa kiume kusuka nywele au kutia dawa kama watoto wa kike inaleta kinyaa sana, mambo mengine kuiga hayafai siku ukinyatiwa usije ukashangaa
 
mpaka wanatia aibu yan mm nawaangalia sijui wanawaza nn mpaka kufikia hatua hyo
 
Mbona umewasahau na wanaovaa hereni?

hereni???? diamond na wasanii wakubwa mnaowatizama wanaweka heren,mi napenda ila moja sio mbili kama wafilipino,in short napenda mwanaume akivaa ila asipovaa sio tatizo maana hata waigizaj wa hollywood na watu maarufu wanavaa
 
hii stail ya vijana wa kiume kusuka nywele au kutia dawa kama watoto wa kike inaleta kinyaa sana, mambo mengine kuiga hayafai siku ukinyatiwa usije ukashangaa

Do you, and let others do them.

Ukikitana na mhafidhina akakuambia hataki wanaovaa suruali za kimagharibi anataka mgolole utasemaje?

Kuna kitu kinaitwa "freedom of expression".

Kuna kitu kinaitwa "artistic license".

Google that shyt.
 
hereni???? diamond na wasanii wakubwa mnaowatizama wanaweka heren,mi napenda ila moja sio mbili kama wafilipino,in short napenda mwanaume akivaa ila asipovaa sio tatizo maana hata waigizaj wa hollywood na watu maarufu wanavaa

Wafilipino, Thais, Indoz hao ni culture yao
 
Do you, and let others do them.

Ukikitana na mhafidhina akakuambia hataki wanaovaa suruali za kimagharibi anataka mgolole utasemaje?

Kuna kitu kinaitwa "freedom of expression".

Kuna kitu kinaitwa "artistic license".

Google that shyt.

Hii kitu gani umeandika na wewe?
 
Kitu ni "hiki", si "hii".

Ni zamu yangu kuuliza. Hiki ni kitu gani umeandika wewe?

Unaandika Kikavirondo au Kiswahili?

Andika kitu kieleweke, unasema freedom of expression,wapi na nani alietoa hiyo kitu, google is not the ans to all question mate

Eleweka
 
Kitu ni "hiki", si "hii".

Ni zamu yangu kuuliza. Hiki ni kitu gani umeandika wewe?

Unaandika Kikavirondo au Kiswahili?

Kikavirondo ni kitu gani? Nimetumia kenyan swahili, mbona we mgumu sana kielewa? Yani unawezaga tu kukariri misamiati ya kizungu, vingine hata hujiongezi
 
Kitu ni "hiki", si "hii".

Ni zamu yangu kuuliza. Hiki ni kitu gani umeandika wewe?

Unaandika Kikavirondo au Kiswahili?

acheni ligi,its true kiranga,but am telling you that shyt is ----d up better be natural
 
Ni ujinga, kutojielewa, ulimbukeni ndio wawasumbua
 
hereni???? diamond na wasanii wakubwa mnaowatizama wanaweka heren,mi napenda ila moja sio mbili kama wafilipino,in short napenda mwanaume akivaa ila asipovaa sio tatizo maana hata waigizaj wa hollywood na watu maarufu wanavaa

vipi ukimuona baba yako amevaa hereni na kapiga dawa nywele.!? sianakuwa kama msanii wa hollywood.!
 
Wabongo bhana..sasa wewe unakerwaje na lifestyle ya wengine?

Kama mtu havunji taratibu za jamii yake,mwache aishi atakavyo na wewe ishi upendavyo.

Kwa hiyo hata ma-moran (wamasai) wasukao wanakukera?

Hamia msituni huko hakuna nyani wa kiume anayesuka.
 
kuwa serious HUO NI UPUUZIz
 
hereni???? diamond na wasanii wakubwa mnaowatizama wanaweka heren,mi napenda ila moja sio mbili kama wafilipino,in short napenda mwanaume akivaa ila asipovaa sio tatizo maana hata waigizaj wa hollywood na watu maarufu wanavaa

Ndo kuiga kwenyewa huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…