Kukuzaa ni Mchango tosha, huyo unae muhonga ulimkuta bikra? Na unaweza mkuta anagongewa kwenye Gari na Nyumba ulizo muhongaTofauti na kumzaa, mchango wa mama mzazi ni upi katika maisha ya mhongaji? Maana kuna wazazi wanatupa watoto!
Ukweli ulio wazi wanawake wameumbwa kupewa tu na watu wakuwapa ni sisi wanaume, hilo alibadiliki kamwe.Papuchi inakutoa akili mpaka unahonga gari na nyumba wakati mama yako mzazi analelewa na taasisi ya kidini. ,Memba mwenzetu badirika bwana kwani inasikitisha sana