Huu ni uonevu

Huu ni uonevu

Zinduna

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
2,378
Reaction score
3,392
Kuna uvumi umeenea jijini Dar kwamba kuna mwanaume kanasiana na mke wa mtu wakati wakijamiiana.
Sina uhakika sana na uvumi huo, lakini katika kukua kwangu nimewahi kusikia hiyo habari ya wanaume kuwawekea tego wake zao ili wakitoka nje ya ndoa wanasiane na wanaume hao.

Mimi nasema huu ni uonevu kwa sababu kiukweli kabisa wanaume ndio wanaoongoza kwa kusaliti ndoa zao lakini sijawahi sikia mwanamke kamtegeshea mumewe akanasiana. kwa nini iwe ni wanaume tu, na wanawake wasiwe na uwezo huo?

Mimi nadhani sasa huu ni wakati muafaka kwa TGNP. TAWLA, WILAC na TAMWA kutoa tamko kulaani mtindo huu ambao unawadhalilisha sana wanawake ukilinganisha na wanaume. Unakuta jidume lizinifu kabisa lakini limemtegeshea mkewe asimegwe! wao waki Duu ni sawa lakini sisi tuki Duiwa ni nongwa

Heeeeeeee

Naomba wanaharakati wanawake wa JF tukemee kabisa hii tabia ya wanaume maana haifai kabisa, taarifa hizi ziwafikie- cacico, gfsonwin, snowhite, Madame B, MadameX, nivea, Yummy, nyumba kubwa, BADILI TABIA, Smile, Kipipi, Angel Msoffe, MwanajamiiOne, Mamndenyi, lara 1, Preta, Kongosho, Elizabeth Dominic, Kaunga, na wengine niliowasahau, hebu njooni hapa tutoe tamko haraka sana
 
wee bwana wanaume ndio tunatoa mahali kijana na harusi sii unaona bei zake sio chini ya milion 14. sasa inauma mwana kumegewa mke wako alafu unakuta huko anatoa utamu hadi wa nyuma wakati wewe huku anakubania. inauma bana
 
Kuna uvumi umeenea jijini Dar kwamba kuna mwanaume kanasiana na mke wa mtu wakati wakijamiiana.
Sina uhakika sana na uvumi huo, lakini katika kukua kwangu nimewahi kusikia hiyo habari ya wanaume kuwawekea tego wake zao ili wakitoka nje ya ndoa wanasiane na wanaume hao.

Mimi nasema huu ni uonevu kwa sababu kiukweli kabisa wanaume ndio wanaoongoza kwa kusaliti ndoa zao lakini sijawahi sikia mwanamke kamtegeshea mumewe akanasiana. kwa nini iwe ni wanaume tu, na wanawake wasiwe na uwezo huo?

Mimi nadhani sasa huu ni wakati muafaka kwa TGNP. TAWLA, WILAC na TAMWA kutoa tamko kulaani mtindo huu ambao unawadhalilisha sana wanawake ukilinganisha na wanaume. Unakuta jidume lizinifu kabisa lakini limemtegeshea mkewe asimegwe! wao waki Duu ni sawa lakini sisi tuki Duiwa ni nongwa

Heeeeeeee
aa mimi naona hapo haki za kijinsia zinakuwa zimezingatiwa maana si wanakuwa wamegandana mwanaume mmoja kwa mwanamke mmoja.kwa hiyo ni 1/1 .sasa unyanasaji uko wapi hapa?
 
wee bwana wanaume ndio tunatoa mahali kijana na harusi sii unaona bei zake sio chini ya milion 14. sasa inauma mwana kumegewa mke wako alafu unakuta huko anatoa utamu hadi wa nyuma wakati wewe huku anakubania. inauma bana
kwani uliomba huo utamu ukanyimwa
 
kha Zinduna bongo chuo kikuuu ati kule kwetu moshi na arusha wanaishia kukuua au kichaa mazima au unaharisha mpaka kufa wacheni tu
 
Last edited by a moderator:
aa mimi naona hapo haki za kijinsia zinakuwa zimezingatiwa maana si wanakuwa wamegandana mwanaume mmoja kwa mwanamke mmoja.kwa hiyo ni 1/1 .sasa unyanasaji uko wapi hapa?

kwa nini wanaotegeshewa iwe ni wanawake na si wanawake kuwategeshea waume zao?
Iko hivi, iwapo wanawake watakuwa na uwezo wa kuwategeshea waume zao, kuna uwezekano wakanaswa wanaume wengi kuliko kawaida tofauti na wanawake.
 
Sikutaka kuchangia chochote but imebidi tu niseme kwa kweli...Japo mie ni rijali na nina mke but so to speak this is really unhumanitarian. Ni udhalilishaji sana wa kiwango cha juu...Dhambi zipo na kufanya dhambi hakukuondelei ubinadamu wako...Unajua hata kitendo cha kufikiria kuwa huyu mke atanicheat na kuenda kutafuta TEGO ni kutojiamini na ni ushrikina tu...Ukishatambua mkeo sio mwaminifu tupa kule..pengine sio chaguo lako...mwache amtafute ampendaye..na wewe sepa na maisha yako...By the kama ulivosema Zinduna hakuna cheaters kama males..sasa mbona sie wake zetu hawatuwekei hizo ndubwasha???..Ni ujinga na i hate this type of a shit!!...
 
Last edited by a moderator:
Cha muhimu na sie tuonyeshane pa kuchuma hiyo dawa ya tego tuwawekee. Watashija adabu labda na maambukizi ya ukimwi yatapungua.

Kweli kabisa dada, tena samahani sijakualika hapo juu.
Wao ndo wanaochovya vibamia vyao kila mahali bila hata aibu. ndo maana nasema huu ni uonevu
 
Sijui unatania au upo serious. Kwa hiyo unadhalilishwa na mwanaume au na umalaya wako? Wewe bila shaka utakuwa mke wa Kakke.

Yaani uhuni wa mumeo unahalalisha wa kwako? Kweli wanawake walikuwepo zamani na sasa tuna viruka njia. Unasimama kabisa hadharani kudai kuwa kufanywa fanywa hovyo kama nguruwe ni haki yako kwa hiyo izingatiwe?

Kuwa na staha dada. Huo mwili wako usiufanye ndoo ya taka kwa kila mwenye manii zake aje amwage humo. Jiheshimu angalau kidogo. Nilidhani ungekemea tabia chafu ya kutoka nje lkn wewe bila haya unataka na wewe upewe nafasi ya kuonwa na wanaume wengi, mbona unatia kichefuchefu wewe?

Naogopa nikisema sana nitakuwa kama namtukana mama yako mzazi lkn jua malezi yako yana walakini, Maumbile ya mwanamke na hatari zilizopo za magonjwa vilitosha kukufanya uelewe how delicate is your life. Wewe unadai haki ya kufanywa fanywa kama nguruwe wako kwenye joto, poh!
 
kwa nini wanaotegeshewa iwe ni wanawake na si wanawake kuwategeshea waume zao?
Iko hivi, iwapo wanawake watakuwa na uwezo wa kuwategeshea waume zao, kuna uwezekano wakanaswa wanaume wengi kuliko kawaida tofauti na wanawake.
kwani si kila tendo moja linamuhusisha mwanaume mmoja na mwanamke mmoja?sasa kwa nini udhani wanaume watakuwa ni wengi zaidi?
 
Sikutaka kuchangia chochote but imebidi tu niseme kwa kweli...Japo mie ni rijali na nina mke but so to speak this is really unhumanitarian. Ni udhalilishaji sana wa kiwango cha juu...Dhambi zipo na kufanya dhambi hakukuondelei ubinadamu wako...Unajua hata kitendo cha kufikiria kuwa huyu mke atanicheat na kuenda kutafuta TEGO ni kutojiamini na ni ushrikina tu...Ukishatambua mkeo sio mwaminifu tupa kule..pengine sio chaguo lako...mwache amtafute ampendaye..na wewe sepa na maisha yako...By the kama ulivosema Zinduna hakuna cheaters kama males..sasa mbona sie wake zetu hawatuwekei hizo ndubwasha???..Ni ujinga na i hate this type of a shit!!...

Kuwa na mwanaume mjinga kama wewe ni hasara kwa taifa.
1. Utajuaje kuwa mkeo si mwaminifu ikiwa hujamuona?
2. Ktk lile lililotokea (linalodhaniwa kutokea Temeke), una hakika gani aliyetegwa alikuwa mwanamke na si yule mwanaume kategwa na mkewe ili aumbuke?
3. Kama hakuna cheaters kama males, wanacheat na wanaume wenzao?
4. 'You hate this type of a shit' this is very funny. You hate it because you are subjected to it. Kama mtego unamnasa anayenuka, wewe kama umeoga utakuwa na wasiwasi wa nini?
5. TEGO ni kutojiamini na ushirikia, eti? Ila kutembea na wake za watu ni kujiami na ibada au?

Pathetic fool!

Sio njia yangu lkn sioni cha kukiogopa. Mwizi ndio hulaani uwepo wa kituo cha polisi. Nyie ni malaya ndio maana mmekuwa wa kushituka hivi. Sitegemei kutembea na mke wa mtu wala kiruka njia yeyote zaidi ya mke wangu, ni haja gani ya kuogopa tego?
 
Cheaters at work!
Sijui unatania au upo serious. Kwa hiyo unadhalilishwa na mwanaume au na umalaya wako? Wewe bila shaka utakuwa mke wa Kakke.

Yaani uhuni wa mumeo unahalalisha wa kwako? Kweli wanawake walikuwepo zamani na sasa tuna viruka njia. Unasimama kabisa hadharani kudai kuwa kufanywa fanywa hovyo kama nguruwe ni haki yako kwa hiyo izingatiwe?

Kuwa na staha dada. Huo mwili wako usiufanye ndoo ya taka kwa kila mwenye manii zake aje amwage humo. Jiheshimu angalau kidogo. Nilidhani ungekemea tabia chafu ya kutoka nje lkn wewe bila haya unataka na wewe upewe nafasi ya kuonwa na wanaume wengi, mbona unatia kichefuchefu wewe?

Naogopa nikisema sana nitakuwa kama namtukana mama yako mzazi lkn jua malezi yako yana walakini, Maumbile ya mwanamke na hatari zilizopo za magonjwa vilitosha kukufanya uelewe how delicate is your life. Wewe unadai haki ya kufanywa fanywa kama nguruwe wako kwenye joto, poh!
 
Sijui unatania au upo serious. Kwa hiyo unadhalilishwa na mwanaume au na umalaya wako? Wewe bila shaka utakuwa mke wa Kakke.

Yaani uhuni wa mumeo unahalalisha wa kwako? Kweli wanawake walikuwepo zamani na sasa tuna viruka njia. Unasimama kabisa hadharani kudai kuwa kufanywa fanywa hovyo kama nguruwe ni haki yako kwa hiyo izingatiwe?

Kuwa na staha dada. Huo mwili wako usiufanye ndoo ya taka kwa kila mwenye manii zake aje amwage humo. Jiheshimu angalau kidogo. Nilidhani ungekemea tabia chafu ya kutoka nje lkn wewe bila haya unataka na wewe upewe nafasi ya kuonwa na wanaume wengi, mbona unatia kichefuchefu wewe?

Naogopa nikisema sana nitakuwa kama namtukana mama yako mzazi lkn jua malezi yako yana walakini, Maumbile ya mwanamke na hatari zilizopo za magonjwa vilitosha kukufanya uelewe how delicate is your life. Wewe unadai haki ya kufanywa fanywa kama nguruwe wako kwenye joto, poh!

We nani hii, ah, I dont know even wht you call yourself, hebu nielewe basi acha jazba.
Naomba tuelewane basi, nimezungumzia swala zima la kutoka nje kati ya mke na mume, kwa kuangalia tu kiukweli wanaume ndio wanaongoza kwa kusaliliti ndoa zao. huyu mwanamke ambaye huenda anashawishika kutoka nje ya ndoa kutokana ndoa yake kukosa kile alichokitarajia, anawindwa kwa kila nyenzo ili kushikishwa adabu ukiwemo huo ushirikina na wakati mwingine hata kuuwawa, lakini huyu mwanaume mzinifu, yeye ni kidume na haguswi sana sana jamii itamsifia kwamba ni rijani na sifa kem kem. sasa huu sio uonevu?
 
Sipati picha ukimuwekea mwanaume tego, yaani inabidi kuansisha kampuni ya kumnasua hehehe. Iwe na auditor kabisa na risiti za tra. Japo inabidi tukubaliane anaetoa faini ya kunasuliwa ni mwanamke anaefumaniwa ama mume mwenyewe. Mbona itakuwa biashara!
 
kwani si kila tendo moja linamuhusisha mwanaume mmoja na mwanamke mmoja?sasa kwa nini udhani wanaume watakuwa ni wengi zaidi?

Mwanaume kutoka nje ya ndoa si lazima atoke na mke wa mtu anaweza klutoka na hata wahudumu wa baa au wadada wa nyumbani na makahaba, ni sawa na mwanaume asiyeoa kutoka na mke wa mtu. wanawake walioolewa sio watokaji kama ilivyo kwa wanaume
 
Hujui hata unachokisema..na huenda haya ni matatizo ya kusoma bila kuushirikisha ubongo..wapi niliposema nasurpot infedility??..Sasa kama hujui mkeo/mumeo anakucheat unawezaje kuweka TEGO??...Lakini pia umefuatilia hujui hata aliyeombwa pesa ili awanasue alikuwa ni nani??....Na kwa akili yako nyembamba unadhani cheating inakomeshwa kwa huu ujinga wa kudhalilishana??...Sasa kama wewe hutembei na wake za watu aliyekuambia mie natembea na wake za watu nani??...Ninachosema mie ni kwamba hii mbinu sio sustainable..Jiulize watoto wa hii familia wataonekaje mtaani??..yes..umejua na dunia imetambua kuwa wewe ni fundi kwa kumdhalilisha mwenzio kiasi hiko mtarudiana???....
Kuwa na mwanaume mjinga kama wewe ni hasara kwa taifa.
1. Utajuaje kuwa mkeo si mwaminifu ikiwa hujamuona?
2. Ktk lile lililotokea (linalodhaniwa kutokea Temeke), una hakika gani aliyetegwa alikuwa mwanamke na si yule mwanaume kategwa na mkewe ili aumbuke?
3. Kama hakuna cheaters kama males, wanacheat na wanaume wenzao?
4. 'You hate this type of a shit' this is very funny. You hate it because you are subjected to it. Kama mtego unamnasa anayenuka, wewe kama umeoga utakuwa na wasiwasi wa nini?
5. TEGO ni kutojiamini na ushirikia, eti? Ila kutembea na wake za watu ni kujiami na ibada au?

Pathetic fool!

Sio njia yangu lkn sioni cha kukiogopa. Mwizi ndio hulaani uwepo wa kituo cha polisi. Nyie ni malaya ndio maana mmekuwa wa kushituka hivi. Sitegemei kutembea na mke wa mtu wala kiruka njia yeyote zaidi ya mke wangu, ni haja gani ya kuogopa tego?
 
We nani hii, ah, I dont know even wht you call yourself, hebu nielewe basi acha jazba.
Naomba tuelewane basi, nimezungumzia swala zima la kutoka nje kati ya mke na mume, kwa kuangalia tu kiukweli wanaume ndio wanaongoza kwa kusaliliti ndoa zao. huyu mwanamke ambaye huenda anashawishika kutoka nje ya ndoa kutokana ndoa yake kukosa kile alichokitarajia, anawindwa kwa kila nyenzo ili kushikishwa adabu ukiwemo huo ushirikina na wakati mwingine hata kuuwawa, lakini huyu mwanaume mzinifu, yeye ni kidume na haguswi sana sana jamii itamsifia kwamba ni rijani na sifa kem kem. sasa huu sio uonevu?

Hata mimi sijakataa kuwa umezungumzia mume na mke, lkn ukanishangaza kwa kudai iwe haki yenu KUFANYWA NJE. Je, mume kutoka nje anatakiwa akemewe au mkewe naye atoke nje?

Well then miss kugawa binti kwenda sawanamume, ikiwa umegundua mumeo analala na mwanamke mpya kila wiki na wewe unaona ndio busara ya kuja kuiongea kwenye kadamnasi kuwa na wewe ukalalwe na mwanaume mpya kila wiki ili muwe sawa?

Umesema HUENDA anashawishiwa, kwa hiyo umefikia kujitukana wewe binafsi na wanawake wenzio kuwa ukishawishiwa huwezi kukataa?

Tumia akili yako kuwaza mdada usiwe kama ajuza. Kila mwanamke akitegwa unafikiri kuna mwanaume atathubutu kutongoza nje ya ndoa yake?
 
Back
Top Bottom