Huu ni unyanyasaji kwa watanzania

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
6,786
1,633
Mambo mengine wanayofanya ccm ni ya unyanyasaji na dharau kwa Watanzania, haiwezekani ushindi uwe kwa jimbo la Igunga wao wafanye sherehe Kila kona ya nchi. Kusherekea si kosa japo hakuna ulazima wwt hs ukizingatia ni ushindi finyu tn wa jimbo 1 tu tn wametumi hila kushinda, kinachoniuma na kunifanya nizidi kuwachukia ni jins wanavyochezea hela(kodi) za wananch kufanya masherehe yao yasiyo na tija kwa watanzania wkt kn matatizo chungu nzima yanayolikabili TAIFA. WATANZANIA TUNADHARAULIWA NA KUONEWA SANA!
 

Kima mdogo

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
303
46
wametumia 3bilions kwa kampeni tu bado za sherehe nchi nzima nadhani itafika bilion 20, hz hela za kuchezea hv wanatoa wapi?
 

Big man

Senior Member
Sep 21, 2011
128
14
wanajifanya wameshusha bei za bithaa muhimu kama vile sukari kumbe ndo wamefanya dili kwa wafanya biashara sukari inakua adimu tz ukienda kenya unakuta magari ya tz yana shusha sukari ya tpc huku kwe2 hamna, na ikipatikana hapa kwe2 klm mfulo mmoja uta uziwa zaidi ya laki moja ukitaka kunnua naww ukauze mfano mifuko 20 nakuendelea nimpaka ununue vi2 vingine vya zaidi ya laki 2 ndo uuziwe sukari , wanafanya ifo ili wazalishe kodi nyingi na wakizipata badla wazi2mie kwa maendeleo ya taifa, wana zi2mia kula na kufa mikutano ambayo haina manufaa yoyote kwa wana nchi,
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom