Huu ni unyama wa hali ya juu!

Huu ni unyama wa hali ya juu!

Yes haijakaa vema .....ila sababu inayotolewa inaweza isiwe yenyewe lakini hiyo haijalishi kwa sababu kumfukuza mtoto wa miaka 8 kwa sababu yoyote ile ni unyama. Ila kuna uwezekano pia hajafukuzwa wala ila mama yake wa kambo inawezekana ana m mistreat na labda maefanya soo fulani kama mtoto na kama mwanadamu sasa ameamua kukimbia kibano kitakachofuatia. #
binafsi sipendi mambo ya umama na utoto wa kambo.....kwa sababu hata kama mtoto akiwa mwema vipi mama wa kambo anawezasaka mapungufu yake na hata mama wa kambo akiwa mwema vipi mtoto anasaka mapungufu...so its horibo
mix with yours
 
Mkuu kazi ya kukaa na mjane, yatima au mtoto wa kufikia ni ngumu sio mchezo.
 
Dah! kama ni kweli basi inasikitisha sana. Mimi na moyo bana...sina jiwe. Siwezi kabisa kuwa katili kwa mtoto mdogo. Sijui mijitu mingine imeumbwaje tu.
 
Haijakaa vizuri.. huyo Mama Afungwe miaka 30 ili iwe fundisho kwa wajinga wengine kama yeye! Ingekuwa damu yake asingefanya hivyo.
 
Dah! kama ni kweli basi inasikitisha sana. Mimi na moyo bana...sina jiwe. Siwezi kabisa kuwa katili kwa mtoto mdogo. Sijui mijitu mingine imeumbwaje tu.

Mpaka kwanza ukae naye. Ndiyo utoe comments. Soma comments za Kwapani. Ameweka kila kitu mle.
 
binafsi sipendi mambo ya umama na utoto wa kambo.....kwa sababu hata kama mtoto akiwa mwema vipi mama wa kambo anawezasaka mapungufu yake na hata mama wa kambo akiwa mwema vipi mtoto anasaka mapungufu...so its horibo
mix with yours

Mtazamo wako ni mzuri sana...
Kwa umri wa huyo mtoto (miaka 8) bado hawezi kusaka mapungufu ya mama wa kambo.

Matatizo yanayotokana na mtoto wa kambo ni machache sana ukulinganisha na yale ya mama. Ninauzoefu na hayo mambo kwa kuwa nimeishi na mama wa kambo kwa miaka 16. wakati mwingine ukumwamkia tu asubuhi anajibu "kamwamkie mama yako"
 
Mpaka kwanza ukae naye. Ndiyo utoe comments. Soma comments za Kwapani. Ameweka kila kitu mle.

Ni wazi hukuona nilivyoandika "kama ni kweli"....

Karudie tena kusoma nilichoandika ukielewe. Usipoelewa rudi uniulize.
 
HUYO ATAKUWA NA ROHO MBAYA SANA MTOTO HUYO BADO MDOGO SIDHANI KAMA ANAWEZA KUMSHINDA MAMA KUMLEA :mad2:
 
Mtazamo wako ni mzuri sana...
Kwa umri wa huyo mtoto (miaka 8) bado hawezi kusaka mapungufu ya mama wa kambo.

Matatizo yanayotokana na mtoto wa kambo ni machache sana ukulinganisha na yale ya mama. Ninauzoefu na hayo mambo kwa kuwa nimeishi na mama wa kambo kwa miaka 16. wakati mwingine ukumwamkia tu asubuhi anajibu "kamwamkie mama yako"

umenikumbusha machungu aisee,kusahau ni ngumu!!unasamehe tu
kweli kabisa umama vs mtoto wa kambo jamani sikieni tu
ni wachache wana roho ya Ki-Mungu ila wengi kutafutana mabifu nk nk
ila wababa izi habari za kuacha my-wife wako na kuleta vimada inaharibu,inajenga chuki kubwa sana kwa watoto na wazazi wa kufikia (kwa upande huu)...
 
Huwa bora baba wa kambo kuliko mama wa kambo.........kwa Tanzania.
tatizo baadhi ya baba wa kambo huwa wanatafuna ma binti wa kambo wakikua....
......kweli njia ni kuepuka watoto wetu kuwa chini ya ukambokambo .....uvumilivu na uaminifu may be utasaidia kunusuru ndoa zetu
mix with yours
 
Mtazamo wako ni mzuri sana...
Kwa umri wa huyo mtoto (miaka 8) bado hawezi kusaka mapungufu ya mama wa kambo.

Matatizo yanayotokana na mtoto wa kambo ni machache sana ukulinganisha na yale ya mama. Ninauzoefu na hayo mambo kwa kuwa nimeishi na mama wa kambo kwa miaka 16. wakati mwingine ukumwamkia tu asubuhi anajibu "kamwamkie mama yako"

wakati nina argue juu ya mapungufu sikuwa nime reflect sakata hili....nilireflect relationship btn mama wa kambo na mtoto wa kambo in general
Pole kwa waliyokupata...kuathirika na hii system ya ukambokambo
japo hatujajua nini kili m-provoke mama yako wa kambo wakati anakupa salamu hiyo.....the importance of space and time
Mie siwatetei wa mama wa kambo kwa sababu najua huwa wanajifanya kukubali kulea watotowa mume ili wao waingie kwenye ndoa na kukubalika na mume na PIA KUHAKIKISHA KUWA YULE BWANA HANA SAFARI SAFARI ZA KWENDA KUWAONA WATOTO KWA MTALAKA WAKE but in real sense wengi wao wanakuwa hawana utayari wa kutekeleza majukumu ya kulea mtoto waliyemkuta...bila kujali kuwa mtoto ni victim tu kama makosa hakufanya yeye wala hajachagua/desire kuwa mikononi mwa mama wa kambo...na wala hausiki na ukewenza wa mama yake na mama yake wa kambo
Kwa ufupi inawezekana mama wa kambo wengi wakukubali kulea mtoto wa kambo kwa hiyana na sio kwa kuatka ama kupenda kwa dhati...
mix with yours
 
Huyu mtoto ni mdogo sana kumtafuta ubaya mama wa kambo. Kumbuka umri huu mtoto anakula sana kwa ajili ya ukuaji, na chakula ni kitu pekee mtoto ana appreciate (labda na mavazi siku za sikukuu) Kwahiyo kunyimwa chai na kufukuzwa itakuwa ilimuumiza sana akaamua kuondoka kweli. pia huwezi jua aliambiwa asipoondoka atafanywa nini???

Jamani tusali na kuomba.
 
Back
Top Bottom