Huu ni ulinzi au udhalilishaji unaofanywa na marais wa Afrika?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,959
Reaction score
13,426
1757016436789.png

1757016504971.png

1757016660943.png

Kila alipo rais wa nchi ya Kiafrika utakuta kuna mtu amesimama nyuma yake tofauti na viongozi wa mataifa makubwa. Je, huu ni ulinzi au udhalilishaji wa kawaida utokanao na mabaki ya ukoloni na ulumbukeni mbali na ubinafsi na woga usio na sababu au ni kwa vile wanasifika kwa kutowatendea haki wanaowatawala?
 
Hao watu wana siri nyingi sana. Wewe waache tu wasimame. Kuna jamaa mmoja mcheka na njia, enzi hizo aliwahi kuanguka kimasihara tu mbele ya kadamnasi baada ya msaidizi wake kuchelewa kumshika! Na hivyo kuzua gumzo kubwa kwa wananchi walio shuhudia lile tukio.
 
Hamna ulinzi wowote hao ni kwa ajili ya kumdaka rais akijikwaa,ukitaka dondoka kwa ugonjwa,uchovu nk ila hao sio wa ulinzi direct kama tudhaniavyo.

Lakini pia ni mtu ambae anakua tayri kwa ajili ya kupokea maelekezo ya kitaalamu/usalama namna ya kumwokoa Rais endapo itatokea ambush.

Assume zimeanza kulia papapa huyo ndie atamuwahi rais kumshika mkono na kumwambia twende huku pita kule,ingia hapa nk,

Ana UMUHIMU sana kwa nchi zetu za Africa zisizo na uwezo wa kuimarisha ulinzi wa MARAIS kwa 100%.

Kwa wenzetu rais analindwa na mitambo watu wanaangalia na kulinda mazingira aliyopo RAIS point hadi point tofaut na huku kwetu..

RAIS sio Mtu wa Kawaida
Ni nembo ya Taifa Ile

Ukitaka ujue RAIS ni kitu cha thamani, angalia pesa zinazomwagika michakato inayofanyika mpk kumpata RAIS

HII mipesa yote ikusanye iweke katika Kitu kimoja..

Hiyo ndio THAMANI ya RAIS zidisha mara 5 utajua kwann ni lazima alindwe.

So kuwepo kwa mmoja tu haitoshi..Check Kiduku wa KOREA gari yake inazingirwa na USALAMA wangapi.
 
Namuonea huruma sana huyu dada Hadi hizi kampeni ziishe atakuwa amechoka sana
Hawachoki hao wanapumzika usiku vizuri tuwakishamuingiza rais ndani wanaenda pumzika..

Kwa mchana wanatumia vinywaji vya kuwaeka.ACTIVE yeye na Rais hutokaa uaaone wanasinzia hata kama tukio litaanza asubuhi hadi usiku saa 1 hawasinziii maana wana booster
 
Rais anatakiwa awe fiti. Anaweza kuwa na ratiba ya siku nzima yupo kazini akifungua semina, akihutubia mikutano ya hadhara. Inambidi awe fiti. Samia mle ikulu anafanya mazoezi ya viungo.
 
Hamna ulinzi wowote hao ni kwa ajili ya kumdaka rais akijikwaa,ukitaka dondoka kwa ugonjwa,uchovu nk ila hao sio wa ulinzi direct kama tudhaniavyo.

Lakini pia ni mtu ambae anakua tayri kwa ajili ya kupokea maelekezo ya kitaalamu/usalama namna ya kumwokoa Rais endapo itatokea ambush.

Assume zimeanza kulia papapa huyo ndie atamuwahi rais kumshika mkono na kumwambia twende huku pita kule,ingia hapa nk,

Ana UMUHIMU sana kwa nchi zetu za Africa zisizo na uwezo wa kuimarisha ulinzi wa MARAIS kwa 100%.

Kwa wenzetu rais analindwa na mitambo watu wanaangalia na kulinda mazingira aliyopo RAIS point hadi point tofaut na huku kwetu..

RAIS sio Mtu wa Kawaida
Ni nembo ya Taifa Ile

Ukitaka ujue RAIS ni kitu cha thamani, angalia pesa zinazomwagika michakato inayofanyika mpk kumpata RAIS

HII mipesa yote ikusanye iweke katika Kitu kimoja..

Hiyo ndio THAMANI ya RAIS zidisha mara 5 utajua kwann ni lazima alindwe.

So kuwepo kwa mmoja tu haitoshi..Check Kiduku wa KOREA gari yake inazingirwa na USALAMA wangapi.
You’re The bump 🤦🏾‍♂️
 
Hao watu wana siri nyingi sana. Wewe waache tu wasimame. Kuna jamaa mmoja mcheka na njia, enzi hizo aliwahi kuanguka kimasihara tu mbele ya kadamnasi baada ya msaidizi wake kuchelewa kumshika! Na hivyo kuzua gumzo kubwa kwa wananchi walio shuhudia lile tukio.
Mwamba ana kifafa alianguka mara mbili jukwaani wakati wa kufunga kampeni.
 
Hamna ulinzi wowote hao ni kwa ajili ya kumdaka rais akijikwaa,ukitaka dondoka kwa ugonjwa,uchovu nk ila hao sio wa ulinzi direct kama tudhaniavyo.

Lakini pia ni mtu ambae anakua tayri kwa ajili ya kupokea maelekezo ya kitaalamu/usalama namna ya kumwokoa Rais endapo itatokea ambush.

Assume zimeanza kulia papapa huyo ndie atamuwahi rais kumshika mkono na kumwambia twende huku pita kule,ingia hapa nk,

Ana UMUHIMU sana kwa nchi zetu za Africa zisizo na uwezo wa kuimarisha ulinzi wa MARAIS kwa 100%.

Kwa wenzetu rais analindwa na mitambo watu wanaangalia na kulinda mazingira aliyopo RAIS point hadi point tofaut na huku kwetu..

RAIS sio Mtu wa Kawaida
Ni nembo ya Taifa Ile

Ukitaka ujue RAIS ni kitu cha thamani, angalia pesa zinazomwagika michakato inayofanyika mpk kumpata RAIS

HII mipesa yote ikusanye iweke katika Kitu kimoja..

Hiyo ndio THAMANI ya RAIS zidisha mara 5 utajua kwann ni lazima alindwe.

So kuwepo kwa mmoja tu haitoshi..Check Kiduku wa KOREA gari yake inazingirwa na USALAMA wangapi.
Pamoja na ulinzi wote JAMAA ALIFIA MZENA na kuwaacha walinzi wanatafuna MIHOGO
 
Ufinyu wa technology kwa nchi nyingi za kiafrica nao unachangia nandomana hawajiamini
 
Rais anatakiwa awe fiti. Anaweza kuwa na ratiba ya siku nzima yupo kazini akifungua semina, akihutubia mikutano ya hadhara. Inambidi awe fiti. Samia mle ikulu anafanya mazoezi ya viungo.
Samia anaweza tumia mitutu yote ya silaha binafsi usimuone pale alipo kuna namna yupo fiti.

Ila kurusha ngumi ndio hawezi ila yeye kama yeye kukubatua hakukosi akishika chuma.

Rais ana mafunzo ya siri mengi
 
Pamoja na ulinzi wote JAMAA ALIFIA MZENA na kuwaacha walinzi wanatafuna MIHOGO
Ile ni MISSION PLANED na ndio mana tunasema nchi zetu za Africa hatujawekeza Bajeti katika ULINZI wa ma RAIS bado kuna Loopholes nyingi ambazo MAFIA wakiamua wanazitumia kama ya MZENA.
 
Pamoja na ulinzi wote JAMAA ALIFIA MZENA na kuwaacha walinzi wanatafuna MIHOGO
Bajeti ingekuepo Nchi ingetakiwa kuwa na HOSPITAL ya kutibu Viongozi NYETI tu

Isiyojulikana, mbali na Hospital tukiongelea IKULU ilipaswa iwe ni jengo lenye mazaga zaga yote.

Rais anamaliza kila kitu ikulu akitoka mule ni either MAITI tukazike au Kapewa TRANSFER nnje ya Nchi lakini TRNSFER ya nini wakati uwepo wa kuajiri daktari bingwa wa kumtibu raisi toka nchi yyte anaweza akaletwa?

Muhimu ni RAIS asichanganywe na HOSPITAL wanazoingia wengine.. RAIS iwe ni ya RAIS tu.

SHIDA NI hamna bajeti hiyo matokeo tunaenda rundikana MZENA ambapo watu washapandikiza ma spy wao
 
Back
Top Bottom