sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,293
Kuna wanaojua kuendesha gari na kuna madereva, hivi ni vitu viwili tofauti. Tafakari.
yaaani ni shida tupu..!!
Kuna wanaojua kuendesha gari na kuna madereva, hivi ni vitu viwili tofauti. Tafakari.
Na wanaojua kuendesha gari nahis ndio wamevamia kwa kasi
....kabisaaaa, maana siku hizi unakuta hata mtu akipanda basi likiwa linaendeshwa kistaarabu wanasema dereva mzee..ila akija chizi flani hivi aendeshee kichaa kichaa..barabarani vurugu tupu ndo wanataka..ikitokea ajali wakwanza kulaumiwa dereva tena!!Nakubaliana na wewe, ukitaka kumjua dereva angalau jinsi anavyoendesha kwa kufuata sheria barabarani na hana papara nyingi za kipumbavu! Siku hizi hakuna madereva, madereva wengi wamezeeka na wa zamani ndo walikuwa madereva haswa!
My take: naona madereva wengi wanaendesha malori na mabasi kwa jinsi nilivyochunguza!
funga SPORT light kwny gari yako,
akikupiga full unampa kitu cha SPORT!ndio dawa
Unakuta mtu anaendesha gari wakati wa jioni/usiku anapita mjini kwenye magari mangine meeengi, pikipiki, baiskeli na watumiaji wengine wa barabara kibaaoo..tena kuna taa nyingi tu pembezoni na barabara inaonekana vizuri kabisa...lakini unakuta LIJITU LINAPITA NA GARI LIMEWASHA TAA FULL!! afu hata hajali wenzake wanapomtaarifu juu ya hilo...kwa nini uwashe taa FULL mahali ambapo kuna watumiaji wengine wengi wa barabara...kwa nini uwashe taa FULL mjiniiii kabisaaa..mi huwa nakereka sana na hili..yaaani wanaboa sana watu hawa..mtu nakumulika mpaka unankuwa hata mbele huoni kabisa afu yee waalaaaa....hivi ni nini haswa sababu....???
Mkuu sijui nini; Ni kweli kuna baadhi ya watu wana tabia hiyo, taa full lights, mwendo anataka kufuta dash board, horn mara kwa mara, mvua inanyesha yeye shingo nje (nadhani ili watu wamuone kuwa yuko anaendesha gar) Ukishaona watu kama hao ujue magari wanayoendesha wameazima, hivyo hawajui kupunguza taa maana siku hizi magari yanajiwasha yenyewe mara giza liingiapoUnakuta mtu anaendesha gari wakati wa jioni/usiku anapita mjini kwenye magari mangine meeengi, pikipiki, baiskeli na watumiaji wengine wa barabara kibaaoo..tena kuna taa nyingi tu pembezoni na barabara inaonekana vizuri kabisa...lakini unakuta LIJITU LINAPITA NA GARI LIMEWASHA TAA FULL!! afu hata hajali wenzake wanapomtaarifu juu ya hilo...kwa nini uwashe taa FULL mahali ambapo kuna watumiaji wengine wengi wa barabara...kwa nini uwashe taa FULL mjiniiii kabisaaa..mi huwa nakereka sana na hili..yaaani wanaboa sana watu hawa..mtu nakumulika mpaka unankuwa hata mbele huoni kabisa afu yee waalaaaa....hivi ni nini haswa sababu....???
....kabisaaaa, maana siku hizi unakuta hata mtu akipanda basi likiwa linaendeshwa kistaarabu wanasema dereva mzee..ila akija chizi flani hivi aendeshee kichaa kichaa..barabarani vurugu tupu ndo wanataka..ikitokea ajali wakwanza kulaumiwa dereva tena!!
..na wengine magari ya mikopo...mtu kapata kamkopo kidogo badala kufanya biashara ya maana anakimbilia kununua gari, leseni ya kununua..sheria hajui matokeao yake anaharibu gari sikumbili na wenye mkopo wanakuja kuchukua gari na vitu vyako vya ndani kama si nyumba nzima kwa kushindwa kulipa deni...Mkuu sijui nini; Ni kweli kuna baadhi ya watu wana tabia hiyo, taa full lights, mwendo anataka kufuta dash board, horn mara kwa mara, mvua inanyesha yeye shingo nje (nadhani ili watu wamuone kuwa yuko anaendesha gar) Ukishaona watu kama hao ujue magari wanayoendesha wameazima, hivyo hawajui kupunguza taa maana siku hizi magari yanajiwasha yenyewe mara giza liingiapo
na ndo maana husikii yakipata ajali za kijinga jinga...Mfano mzuri mabasi ya Morogoro (yale mekundu kabisa yale) asilimia kubwa madereva wake ni wazee au waliokula chumvi nyingi ndo maana hata ukilala huna wasiwasi na unajua utafika....hao ndo madereva sasa...