Huu ni ukweli usiopingika kuhusu dini

Huu ni ukweli usiopingika kuhusu dini

sky walker

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2018
Posts
1,160
Reaction score
834
KUNA USEMI HADI LEO WANAAMINI KUWA SIKU MOJA MBINGUNI NI SIKU ELFU MOJA DUNIANI ILA UKIANGALIA DUNIA IMEPITA MIAKA ZAIDI YA BILLIONI OF YEARS HADI PALE WALIPO JUA KUHESABU NA KUANZA MWAKA 1 HADI SASA 2019
BAADHI YA COMMENT ZA HIGH LIGHT

Imani hizi!!
Kuna wakati nakengeuka, if God was do loving, asingeruhusu watu waumie kiasi hiki, duniani watu wanauliza sana.

The wealthiest make only 1℅ of the world's population. Watu 8 duniani wana utajiri ambao unamilikiwa na 3.6 billion poor people. Where is God to make the world "even"?

mwache afe kwa ujinga wake,hatofautiani na jirani yangu alikuwa ni mwathirika wa HIV na akawa anatumia ARV akawa vizuri tu,sijui mpuuzi gani akamdanganya aokoke kwenye kanisa flani linaitwa SILOAM,huko wakamwambia aache dawa YESU atamponya,wee...saiv ana mwezi analiwa na mchwa huko chini ya kaburi,hivi haya makanisa huwaga yanasajiliwa kwa kutumia vigezo gani?
na waumini wao huwaga wana akili gani hadi tushindwe hata kushabihiana?
kifupi kila mlokole huwaga namwona kama ubongo wake una mafuta ya taa..

Mkuu, duniani watu wanaumia sana, maisha magumu, masikini ni wengi sana. Mungu anaruhusu vipi watu wake waumie kiasi hiki, kwa nini asifanye jambo haya yaishe? Ukienda sehemu kama ocean road, muhimbili na mahospitalini ndio utajua kuwa people are really suffering.

Kwa nini Mungu asitihurumie, asitupe ahueni sote tukafurahia maisha, kwa nini only 1% ya wanadamu ndio wana maisha ya kitajiri?

Wapagani kibao wanaishi bomba sana, wewe na mimi tunaosali/ swali kila siku tunaishi terrible lives.

At times you think hizi ni propaganda za mtu mweupe kumteka akili mtu mweusi, wajua sisi tunabeba kila tunaloambiwa, tumekuwa mateka wa watu waeupe.

Hao weupe walioleta ukristo wala hawana time na imani yao.

Kuna mdachi(Dutch) mmoja aliwahi kuniambia, religion is for poor people, even in Netherlands only the poor go to church, there's nothing like Jesus or God. Nilibaki mdomo wazi.

DcvSmjuX4AA8bi3.jpg

Neno "dini" kama lilivyotumika katika karne ya 21 haina tafsiri ya wazi ya ukoloni katika lugha zisizo za Ulaya. Mwanadamu wa kibiblia Daniel Dubuisson anaandika kuwa "kile Magharibi na historia ya dini katika wake wake wamepinga chini ya jina 'dini' ni ... kitu cha pekee kabisa, ambacho kinaweza kuwa sahihi tu na yenyewe na historia yake mwenyewe." Historia ya ushirikiano wa tamaduni nyingine na kikundi cha "dini" kwa hiyo ni mwingiliano wao na wazo ambalo liliendelezwa kwanza katika Ulaya chini ya ushawishi wa Ukristo.

la-na-tt-religion-center-stage-20140731-001-2.jpeg

Wengi huko makanisani hutumia picha ya Brian Deacon kumhusisha Yesu, that's unacceptable kabisa.

Screenshot_20180519-144548_2.jpg

ANGALIA HIYO VIDEO HAPO JAMAA ANATUPWA TU AKIMALIZA ANACHUKUA MPUNGA WAKE SAFI

NA WALE WACHAMBUZI WASOMI WAJUZI WA BIBLIA AKINA PAPA WAMETOA HABARI NYINGE UNAWEZA SOMA HAPO

BREAKING NEWS INTERNATIONAL
Pope Francis cancels The Bible and proposes to create a new book
abril 2, 2018 Sr. Lobo 3 comentarios bible, pope Francis

Pope Francis has surprised the world today by announcing that The Bible is totally outdated and needs a radical change, so The Bible is officially canceled and it’s announced a meeting between the highest personalities of the church where it will be decided the book that will replace it, its name and its content. Some names are already being considered and the one that has more strength is “Biblia 2000”.

“We can not keep trying to talk our public in a totally new world with a book that has thousands years. We are losing followers and we have to go a step further in the search for the modernization of the church. to rewrite the word of God, even if it is only the Old Testament, in which there are certain passages that it is better not to repeat. ”

The news has fallen like a bomb among the most conservative, who consider this
[4/5, 23:56]

Vitabu vyote vya dini ni uzuishi tu, si Qu'an wala Biblia...vyote ni utata mtupu. Binafsi siviamini hata kidogo kwani vimeandikwa kwa lengo la kuwaabudu wazungu, wayahudi na waarab tu. Ndiyo maana inasemwa history is always written for the victors si wafuasi, wafuasi wanabaki kuwa mabumbuwazi tu.

Kwanza kabla ya yote labda nitamke tu rasmi kwamba mimi ni muumini wa dini ya kikristu na dhima ya uzi huu sio ku-criticize our faith (for those Christians) Bali ningependa tuweze kushare mawazo kusudi kung'amua hasa kweli ni ipi. Baada ya kusoma nyuzi kadhaa za mkuu Likud na na comments za mkuu Kiranga, nilijaribu kutafuta vitabu kadhaa niweze japo basi kupata mwanga kidogo kuhusu ni ipi ni kweli. Kitabu cha The bible fraud (hivi vyote vimeandikwa na Tony Bushby) sikufanikiwa kukipata ila hiki cha secret in the bible nimefanikiwa kukipata na ndio niko mbioni kumalizia. Aisee,
Ukisoma hiki kitabu kuna shocking facts (truth) ambazo kiukweli zimenishtua hadi sasa moyo wangu hauna amani. Imagine what you have been made to believe turns out to be fake. Kwenye biblia kuna siri nyingi sana na according to bwana bushby, mtu aliyeitwa Francis Bacon ambae ni moja ya magenius waliowahi kutokea duniani, ambae pia ni among the earliest initiates (masonry) ndie aliyepewa jukumu LA kuandika biblia ya kwanza na king jes ambapo humo aliencode siri nyingi sana ambazo inabidi uwe enlightened kuweza kuzifahamu. Pia anasema Jesup christ had a twin brother na hakuuliwa kwa crucifixion bali he was stoned to death baada ya kukamatwa na hatia ya kuiba the ancient secrets from Egypt na ndipo alipoanza kuperform MIUJIZA.
 
BAADHI YA COMMENT ZA HIGH LIGHT

Imani hizi!!
Kuna wakati nakengeuka, if God was do loving, asingeruhusu watu waumie kiasi hiki, duniani watu wanauliza sana.

The wealthiest make only 1℅ of the world's population. Watu 8 duniani wana utajiri ambao unamilikiwa na 3.6 billion poor people. Where is God to make the world "even"?

mwache afe kwa ujinga wake,hatofautiani na jirani yangu alikuwa ni mwathirika wa HIV na akawa anatumia ARV akawa vizuri tu,sijui mpuuzi gani akamdanganya aokoke kwenye kanisa flani linaitwa SILOAM,huko wakamwambia aache dawa YESU atamponya,wee...saiv ana mwezi analiwa na mchwa huko chini ya kaburi,hivi haya makanisa huwaga yanasajiliwa kwa kutumia vigezo gani?
na waumini wao huwaga wana akili gani hadi tushindwe hata kushabihiana?
kifupi kila mlokole huwaga namwona kama ubongo wake una mafuta ya taa..

Mkuu, duniani watu wanaumia sana, maisha magumu, masikini ni wengi sana. Mungu anaruhusu vipi watu wake waumie kiasi hiki, kwa nini asifanye jambo haya yaishe? Ukienda sehemu kama ocean road, muhimbili na mahospitalini ndio utajua kuwa people are really suffering.

Kwa nini Mungu asitihurumie, asitupe ahueni sote tukafurahia maisha, kwa nini only 1% ya wanadamu ndio wana maisha ya kitajiri?

Wapagani kibao wanaishi bomba sana, wewe na mimi tunaosali/ swali kila siku tunaishi terrible lives.

At times you think hizi ni propaganda za mtu mweupe kumteka akili mtu mweusi, wajua sisi tunabeba kila tunaloambiwa, tumekuwa mateka wa watu waeupe.

Hao weupe walioleta ukristo wala hawana time na imani yao.

Kuna mdachi(Dutch) mmoja aliwahi kuniambia, religion is for poor people, even in Netherlands only the poor go to church, there's nothing like Jesus or God. Nilibaki mdomo wazi.

View attachment 781166
Kila mtu afe na imani yake.
 
BAADHI YA COMMENT ZA HIGH LIGHT

Imani hizi!!
Kuna wakati nakengeuka, if God was do loving, asingeruhusu watu waumie kiasi hiki, duniani watu wanauliza sana.

The wealthiest make only 1℅ of the world's population. Watu 8 duniani wana utajiri ambao unamilikiwa na 3.6 billion poor people. Where is God to make the world "even"?

mwache afe kwa ujinga wake,hatofautiani na jirani yangu alikuwa ni mwathirika wa HIV na akawa anatumia ARV akawa vizuri tu,sijui mpuuzi gani akamdanganya aokoke kwenye kanisa flani linaitwa SILOAM,huko wakamwambia aache dawa YESU atamponya,wee...saiv ana mwezi analiwa na mchwa huko chini ya kaburi,hivi haya makanisa huwaga yanasajiliwa kwa kutumia vigezo gani?
na waumini wao huwaga wana akili gani hadi tushindwe hata kushabihiana?
kifupi kila mlokole huwaga namwona kama ubongo wake una mafuta ya taa..

Mkuu, duniani watu wanaumia sana, maisha magumu, masikini ni wengi sana. Mungu anaruhusu vipi watu wake waumie kiasi hiki, kwa nini asifanye jambo haya yaishe? Ukienda sehemu kama ocean road, muhimbili na mahospitalini ndio utajua kuwa people are really suffering.

Kwa nini Mungu asitihurumie, asitupe ahueni sote tukafurahia maisha, kwa nini only 1% ya wanadamu ndio wana maisha ya kitajiri?

Wapagani kibao wanaishi bomba sana, wewe na mimi tunaosali/ swali kila siku tunaishi terrible lives.

At times you think hizi ni propaganda za mtu mweupe kumteka akili mtu mweusi, wajua sisi tunabeba kila tunaloambiwa, tumekuwa mateka wa watu waeupe.

Hao weupe walioleta ukristo wala hawana time na imani yao.

Kuna mdachi(Dutch) mmoja aliwahi kuniambia, religion is for poor people, even in Netherlands only the poor go to church, there's nothing like Jesus or God. Nilibaki mdomo wazi.

View attachment 781166

Neno "dini" kama lilivyotumika katika karne ya 21 haina tafsiri ya wazi ya ukoloni katika lugha zisizo za Ulaya. Mwanadamu wa kibiblia Daniel Dubuisson anaandika kuwa "kile Magharibi na historia ya dini katika wake wake wamepinga chini ya jina 'dini' ni ... kitu cha pekee kabisa, ambacho kinaweza kuwa sahihi tu na yenyewe na historia yake mwenyewe." Historia ya ushirikiano wa tamaduni nyingine na kikundi cha "dini" kwa hiyo ni mwingiliano wao na wazo ambalo liliendelezwa kwanza katika Ulaya chini ya ushawishi wa Ukristo.

View attachment 781208
pambana na hali yako
Africa tumepokea hizo kama ni za hapa lakini kwao wala hawasali mbaya zaidi akisali mpagani ili mvua ije na inakuja Ila wewe unaiamini dini holaaaa
 
Duniani tunapita tuu!pesa zitakusaidia huku duniani tu kule ni amali ulizotenda ndio zitakubeba.
Haitajalisha dini yako wala haiyumkini una pesa au huna pesa!matendo yako bora ndo yatakuokoa.kuna watu maskini wanaupata moto wa duniani na huko wakifa wataukuta uliochochewa vizuri kabisa.
Wako wenye pesa wanaotoa sadaka na kusaidia wenye shida mbalimbali hao hawatajuta.
Kama una wivu ukimkuta tajiri huko anaendelea kula bata usishangae!wakati we ulikuwa maskini hata kula ya shida ukatupwa jehanam tena.
 
papa alisema neno mwaka huu kuwa hakuna motoni bali roho hupotea tu, na hii kitu huwa naiamini kwa asilimia kadhaa koz wazungu na historia yao wameweka vitisho vingi sana kwenye swala la imani. kama vile sadaka ilikuwa ni lazima kutoa na unapigwa ila wakuu walikaa wakaitengua sheria.
 
vitu kama hivyo hakuna,sijui moto sijui nini?
kwanini mungu awachome walio wake,kwakweli uwongo mwingine ni mwepesi sana
na vipi kuhusu kutoa sadaka na fungu la kumi.
 
wajinga ndio waliwao,ukitaka ukubaliane na mimi kuhusiana na huo msemo,waangalie makasisi wao maisha wanayoishi ukilinganisha na watoa fungu la kumi,mimi kama una shida nakusaidia tu ila sio nikatoe sadaka sijui kwa nani,never in my life,ndio maana nilishawaambia hata ndugu zangu nikifa sitaki dhehebu lolote lijitokeze kujifanya wananisalia,unafiki na uwoga wa kipuuzi..
 
wanasema when you DIE is't over
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom