Lupamba's grandson
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,230
- 1,199
Ati mapinduzi kwa ki English ni nini?Duuuh kweli ni chama cha mapinduzi
Neutral Figure unadhani ni tiles au taa kwanza kwann ujengwe beside benk kuu, nahisi hata kuna vent chini ya ardhi kutokea benk paleMletamada, hizo taa na tiles ndo zinakuzuzua.
Najaribu kutafakati embu na ww tazama, alafu umejengwa karibu pembeni mwa benk kuu idodomyaa. Cjui ziwe zinachotwa tuu. Ila cjajua ni kodi zetu au ni pesa za fomu za urais.
Chenge asante, haya semeni sasa
Ati mapinduzi kwa ki English ni nini?
Revolutionary party
Sasa kwa huku bara walipindua nini?Revolutionary party