Kwani ndio zimekojoa? Ukienda mahakamani unashinda na fidia juu pamoja na kulipwa nyingine mpya kabisa
Ngumu kumeza hiiLabda hio ni private property mtu anaandika anachojiskia.
Halafu hapo kwenye hio picha hakuna tafsiri ya moja kwa moja wamemaanisha nini... ukienda mahakamani wanakushinda..
Wanaweza kusema wamemaanisha ukikojoa unalipa mayai mawili na mkasi