Vyura is overrated.. mbona miaka ya 2010s kurudi nyuma ilikua sio big deal.
Kweli kizazi cha mwisho
VYURA viliyayusha hela yangu yote nilioichuma kwa kupindwa na waarabu kwa miaka mitatu
Hapo umemaanisha nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena Ni Ugonjwa wa akili mwanaume mzima #una zuzuka na vyura hadi kiasi cha kupoteza kazi we ni fala mzee
VYURA viliyayusha hela yangu yote nilioichuma kwa kupindwa na waarabu kwa miaka mitatu
Na mwisho hivi juzi nimefanya tukio la kifala kabisa sababu kuu ni chura
Ili uwe mwanaume unatakiwa uweze kumudu hisia zako we sio mwanaume huna sifa ya uwanaume jifunze kuanzia Leo kumudu hisia zako ndomana wanawake hawana huo moyo
Dah mbna unajipoteza sana tafuta chura moja uimiliki ukiendelea ivi tarajia mabaya mbeleni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo pa kupindwa na Mwarabu sijaelewa naomba ufafanuzi
amekosea baadala ya a ameweka i. (kupandwa)VYURA viliyayusha hela yangu yote nilioichuma kwa kupindwa na waarabu kwa miaka mitatu
Hapo umemaanisha nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
amekosea baadala ya a ameweka i. (kupandwa)
Hapo pa kupindwa na Mwarabu sijaelewa naomba ufafanuzi
Usichukulie poa nyumba ni chooCHURA ndio tatizo kuu la maisha yangu, hunitoa kabisa kwenye mipango yangu yakimaisha. naweza kuvumilia chochote lakini si mwanamke mwenye chura. Akili yote huvurugika nikaishia kufanya mambo ya ajabu muda mwengine
VYURA vilashanifukuzisha kazi mara 3
VYURA vilishanisababishia kufilisika mtaji wa biashara
VYURA vilishaharibu Serious relationships zangu 3
VYURA vilishagombanisha na rafiki zangu wa 3
VYURA viliyayusha hela yangu yote nilioichuma kwa kupindwa na waarabu kwa miaka mitatu
Na mwisho hivi juzi nimefanya tukio la kifala kabisa sababu kuu ni chura
Hawa wanawake wasingekuwa na hivi vyura dunia ingelikuwa sehemu salama sana kwangu. Pia pengine ningekuwa nakaribia hata kuitwa milionea na mimi.