Huu ni ugonjwa gani

SYPLILIS(KASWENDE)
Ni gonjwa unao sababishwa na Bacteria aina ya TREPONEMA PALLADIUM,
Ugonjwa huu huleta matatizo mengi sana wakati wa ujauzito , ambazo husababisha athari kwa motto , kama kujifungua kiumbe ambacho kimesha kufa, ugonjwa huu huathiri zaidi ya mimba 1 million per month na kuchangia theluthi mbili ya vifo duniani.

Ugonjwa huu wa kaswende na ukimwi Mara nyingi huambatana kwa pamoja.

VISABABISHI;
Kujamiana bila kinga,
Anal sex( kinyume na maumbile)
Oral sex( kwa njia mdomoni)
Na pia kwa njia ya ujauzito kwa mtoto, au
njia ya michubuko au mipasuko kwenye ngozi

DALILI
Kuna aina tano za ugonjwa wa kaswende ambazo no;
•primary syphilis
•Secondary syphilis
•Latent syphilis
•Tertiary Syphilis(ya baadae)
•Conjenital syphilis(Ya kurithi)

PRIMARY SYPHILIS
>Ni kutokea kwa vidonda mviringo (canker) katika sehemu ambayo imeingilia bacteria hutokea kati ya siku 7-17 hadi Mienzi 3, pia kinaweza kutokea kwenye haja kubwa, shingo ya kizazi, mdomoni(lips), uume(penis), Ulimi, vulva(tupu ya mwanamke), Lyphnodes(Tezi), huvimba baada ya siku 7-10 pia hutoka chenyewe au na Tina kwa mda wa wiki 3-6 ambayo hupelekea SECONDARY SYPHILIS kama hutotibiwa.

SECONDRY SYPHILIS
Hutokea wiki 4 - hadi wiki 10

Dalili;
Vipele kweny mikono au nyayo za miguu, mwili mzima, uchovu, kuumwa kichwa , homa , kunyofoka nywele, vidonda vya koo( sore throat), kuvimba kwa matezi, maumivu ya mifupa ( joints pain), kupungua uzito.
Nayo hii kama haitatibiwa huputea au inaweza inaweza kujirudia rudia kwa mwaka mmoja au miwili na kuingia kundi LA tatu.

LATENT SYPHILIS
hii hujitokeza pale ambapo hukutibiwa kundi la pili LA secondary syphilis, hii hujitokeza baada ya miaka miwili , hii inaweza kutibika kwa kutumia vipimo vya maabara (serological test) pia imegawanyika katika makundi mawili
Early Latent syphilis, hii ambayo hutokea ndani ya mwaka mmoja, ugonjwa huu au hatua hii mgonjwa(Clients/patients) Huwa hana dalili yeyote ile ya kuonyesha ugonjwa huu pia hawezi kumwambukiza mtu mwingine.


TERTIARY SYPHILIS
30% Hutokea miaka 15-30 baada ya maambukizi hapo ya awali bila kutibiwa , aina hii inaweza kuathiri viungo kama macho, ubongo, mishipa ya fahamu(Neurosyphilis), joints, uti wa mgongo, moyo,
Hivyo kusababisha madhara makubwa kama;
• Upofu,
•magonjwa ya moyo(Aotic dissection type B)
•Syphilitic Arthritis
•Magojwa ya akili,
•Mtu kuwa kiziwi(Memory loss)
•Abdominal organs
•Mfumo wa upumuaji kuharibika na mfumo wa uzazi(Respiratory system and reproductive system destruction).

CONGENITAL SYPHILIS
Hii hutokea wakati wa ujauzito au baada ya mtoto kuzaliwa, Robo mbili ya watoto hawaonyeshi dalili zozote zile, dalili hizo kwa mtoto hutokea baada ya wiki 2 au mienzi 3 baada ya kuzaliwa,

Dalili kwa mtoto;
•kusindwa kukua
•Homa Mara kwa Mara
•Kukasirika haraka(Irritability)
•pua ina kuwa bapa(No bridge to nose, Saddle nose)
•Vipele vya rangi ya shaba,
•maji puani
•Kuongezeka kwa ukubwa wa ini na bandama(Hepatosplenomegally)
•Ngozi kuwa njano(jaundice)
Upungufu wa damu( Chronic anaemia/)Anaemia

Dalili kwa mtoto mkubwa;
•Kuathirika meno(Hutchison teeth)
Maumivu ya mifupa,
•Upofu
•kiziwi
•Ngozi kuwa na mabaka
•Ngozi kuwa na mabaka meusi kwenye mdomo.
•Clouding of Cornea.

NB:
Kwa wale wenye ugonjwa wa;
Kifua kikuu, malaria, wajawazito, measles, endocardiasis, connective tissue disease, Mara nyingi hata ukiwa na kaswende huwa vipimo havionyeshi kuwa kama una kaswende. Pia inashauriwa kurudia rudia kwa uthibisho zaidi kama utakuwa unamagonjwa miongoni ya hapo juu.

VIPIMO;
•RPR = Rapid plasma test
•VDRL = Veneral Disease Research Laboratory
•MHA - TP = The macro hema agglutination assay
•FTA = Fluorescent - Treponemal Antibody Absorption
•ELISA = Enzyme - Iinked Immunosorbent assay
•PCR = Polmerse Chain Reaction ( hii ni kuangalia viini saba vya DNA ya TP)
•CBC = Complete Blood Count
•Dark field microscope
•X-Ray ya kifua na uti wa mgongo
•ECG. = Vipimo vya moyo.

DAWA;
Penicillin, polyketides antibiotics (Doxycline) , Hizi hutumika kwa wa jawazito, pia ina madhara ya kuharibu mishipa ya fahamu.
∆∆ Usitumie dawa bila kupima.

For any inquiries contact us through doctor@blader.com or FBP@solution4u.com or Ned-help@usa.com
I conguer !! But l would also suspect for genital warts .. (HPV)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kpind vilikuwa vinanitoka hivyo kila mwezi na huopotea baada ya siku tatu. Ila uliisha wenyewe. Sijui ni ugonjwa gani. By the way mkuu unalipenda jina la kibamia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitibiwa au umepotezea tu?? Kama umepotezea unajichimbia kabuki mwenyewe maana syphilis hatua ya kwanza yaan primary syphilis huanza na kidonda kama hcho kitaalamu huiitwa chancre ,hiki hukaa kana wiki then hupotea bila dawa ,na MTU huweza hisi amepona ila ugonjwa huendelea kukua ndani kwa ndani,baada ya muda huingia secondary syphilis ambapo waweza pata upele mwili mzma kama vile una surua na ya mwisho n tertiary syphilis hii huja hata miaka kumi baada ya primary syphilis.....so nakushauri ukafanye VDRL test ya syphilis na test zingine for more confirmation......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulitibiwa au umepotezea tu?? Kama umepotezea unajichimbia kabuki mwenyewe maana syphilis hatua ya kwanza yaan primary syphilis huanza na kidonda kama hcho kitaalamu huiitwa chancre ,hiki hukaa kana wiki then hupotea bila dawa ,na MTU huweza hisi amepona ila ugonjwa huendelea kukua ndani kwa ndani,baada ya muda huingia secondary syphilis ambapo waweza pata upele mwili mzma kama vile una surua na ya mwisho n tertiary syphilis hii huja hata miaka kumi baada ya primary syphilis.....so nakushauri ukafanye VDRL test ya syphilis na test zingine for more confirmation......

Sent using Jamii Forums mobile app
Leo kapelekwa na dada yake ambae ni mke wangu hospital. Nikipata majibu ntawapa feedback

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom