Huu ni ugonjwa gani


Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Messages
15,491
Points
2,000
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2011
15,491 2,000
Hiyo Dhakari Ama Vp
Pole Sana
 
kawoli

kawoli

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Messages
3,505
Points
2,000
kawoli

kawoli

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2014
3,505 2,000
Kuna kpind vilikuwa vinanitoka hivyo kila mwezi na huopotea baada ya siku tatu. Ila uliisha wenyewe. Sijui ni ugonjwa gani. By the way mkuu unalipenda jina la kibamia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
makaveli10

makaveli10

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Messages
13,199
Points
2,000
makaveli10

makaveli10

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2013
13,199 2,000
Kuna kpind vilikuwa vinanitoka hivyo kila mwezi na huopotea baada ya siku tatu. Ila uliisha wenyewe. Sijui ni ugonjwa gani. By the way mkuu unalipenda jina la kibamia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa.. Atafanyaje sasa nae anataka tiba.

Lakini huwenda nikibamia ikinywea ila iki ngangari inakuwa mid size ama bab kubwa..Sent using Jamii Forums mobile app
 
Norshad

Norshad

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2013
Messages
4,099
Points
2,000
Norshad

Norshad

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2013
4,099 2,000
Ugonjwa wa kisenge sana huo, utasambaa nenda hospital mkuu vinginevyo utamuambikza na mwenzako
 
3 Angels message

3 Angels message

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2017
Messages
1,493
Points
2,000
3 Angels message

3 Angels message

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2017
1,493 2,000
Pole sana mkuu nadhani ni shida ndogo tu hiyo vitapotea tu ila ni vyema ukaenda hospital ili upate tiba sahihi maana hayo ni maeneo ambayo unahitaji umakini maana ukipata shida huko ustawi wa jamii utatetereka
 
dumejm

dumejm

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2016
Messages
632
Points
500
dumejm

dumejm

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2016
632 500
Teh watu wanahangaika na size ya huyo ndugu... Don't judge mapema inawezekana jamaa ni ana growers penis... Kwenye size ya penise kuna makundi mawili kuna watu wana grower na wengine wana kitu inaitwa shower... Watu wenye growers penis , mashine zao huonekana ndogo sana kabla ya kusimama.. Lakini huwa kubwa sana zikisha simama inaweza kufikia mpaka 7inch plus huko... Lakini kuna wengine wanakuwa na hogo kubwa kabla ya kusimama... Linaweza kuonekana 5 to 6 inch kabla ya kusimama... Lakini baada ya kusimama huongezeka kidogo sana unakuta kitu inaishia 5 au 6 pale pale baada ya erection hawa wanajulikana kama showers... ila kati hali ya kawaida ukiona mtu ana mashine ndogo kabla ya kusimamisha bas utajaji moja kwa moja jamaa ana kibamia... Haipo ivo...

Inaripotiwa kuwa zaidi ya asilimia 70 ya wanaume ni growers...Unaweza kusoma zaidi hapa
Doctors Explain Why Some Men Are Growers And Others Are Showers

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lukas4

Lukas4

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Messages
930
Points
500
Lukas4

Lukas4

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2013
930 500
SYPLILIS(KASWENDE)
Ni gonjwa unao sababishwa na Bacteria aina ya TREPONEMA PALLADIUM,
Ugonjwa huu huleta matatizo mengi sana wakati wa ujauzito , ambazo husababisha athari kwa motto , kama kujifungua kiumbe ambacho kimesha kufa, ugonjwa huu huathiri zaidi ya mimba 1 million per month na kuchangia theluthi mbili ya vifo duniani.

Ugonjwa huu wa kaswende na ukimwi Mara nyingi huambatana kwa pamoja.

VISABABISHI;
Kujamiana bila kinga,
Anal sex( kinyume na maumbile)
Oral sex( kwa njia mdomoni)
Na pia kwa njia ya ujauzito kwa mtoto, au
njia ya michubuko au mipasuko kwenye ngozi

DALILI
Kuna aina tano za ugonjwa wa kaswende ambazo no;
•primary syphilis
•Secondary syphilis
•Latent syphilis
•Tertiary Syphilis(ya baadae)
•Conjenital syphilis(Ya kurithi)

PRIMARY SYPHILIS
>Ni kutokea kwa vidonda mviringo (canker) katika sehemu ambayo imeingilia bacteria hutokea kati ya siku 7-17 hadi Mienzi 3, pia kinaweza kutokea kwenye haja kubwa, shingo ya kizazi, mdomoni(lips), uume(penis), Ulimi, vulva(tupu ya mwanamke), Lyphnodes(Tezi), huvimba baada ya siku 7-10 pia hutoka chenyewe au na Tina kwa mda wa wiki 3-6 ambayo hupelekea SECONDARY SYPHILIS kama hutotibiwa.

SECONDRY SYPHILIS
Hutokea wiki 4 - hadi wiki 10

Dalili;
Vipele kweny mikono au nyayo za miguu, mwili mzima, uchovu, kuumwa kichwa , homa , kunyofoka nywele, vidonda vya koo( sore throat), kuvimba kwa matezi, maumivu ya mifupa ( joints pain), kupungua uzito.
Nayo hii kama haitatibiwa huputea au inaweza inaweza kujirudia rudia kwa mwaka mmoja au miwili na kuingia kundi LA tatu.

LATENT SYPHILIS
hii hujitokeza pale ambapo hukutibiwa kundi la pili LA secondary syphilis, hii hujitokeza baada ya miaka miwili , hii inaweza kutibika kwa kutumia vipimo vya maabara (serological test) pia imegawanyika katika makundi mawili
Early Latent syphilis, hii ambayo hutokea ndani ya mwaka mmoja, ugonjwa huu au hatua hii mgonjwa(Clients/patients) Huwa hana dalili yeyote ile ya kuonyesha ugonjwa huu pia hawezi kumwambukiza mtu mwingine.


TERTIARY SYPHILIS
30% Hutokea miaka 15-30 baada ya maambukizi hapo ya awali bila kutibiwa , aina hii inaweza kuathiri viungo kama macho, ubongo, mishipa ya fahamu(Neurosyphilis), joints, uti wa mgongo, moyo,
Hivyo kusababisha madhara makubwa kama;
• Upofu,
•magonjwa ya moyo(Aotic dissection type B)
•Syphilitic Arthritis
•Magojwa ya akili,
•Mtu kuwa kiziwi(Memory loss)
•Abdominal organs
•Mfumo wa upumuaji kuharibika na mfumo wa uzazi(Respiratory system and reproductive system destruction).

CONGENITAL SYPHILIS
Hii hutokea wakati wa ujauzito au baada ya mtoto kuzaliwa, Robo mbili ya watoto hawaonyeshi dalili zozote zile, dalili hizo kwa mtoto hutokea baada ya wiki 2 au mienzi 3 baada ya kuzaliwa,

Dalili kwa mtoto;
•kusindwa kukua
•Homa Mara kwa Mara
•Kukasirika haraka(Irritability)
•pua ina kuwa bapa(No bridge to nose, Saddle nose)
•Vipele vya rangi ya shaba,
•maji puani
•Kuongezeka kwa ukubwa wa ini na bandama(Hepatosplenomegally)
•Ngozi kuwa njano(jaundice)
Upungufu wa damu( Chronic anaemia/)Anaemia

Dalili kwa mtoto mkubwa;
•Kuathirika meno(Hutchison teeth)
Maumivu ya mifupa,
•Upofu
•kiziwi
•Ngozi kuwa na mabaka
•Ngozi kuwa na mabaka meusi kwenye mdomo.
•Clouding of Cornea.

NB:
Kwa wale wenye ugonjwa wa;
Kifua kikuu, malaria, wajawazito, measles, endocardiasis, connective tissue disease, Mara nyingi hata ukiwa na kaswende huwa vipimo havionyeshi kuwa kama una kaswende. Pia inashauriwa kurudia rudia kwa uthibisho zaidi kama utakuwa unamagonjwa miongoni ya hapo juu.

VIPIMO;
•RPR = Rapid plasma test
•VDRL = Veneral Disease Research Laboratory
•MHA - TP = The macro hema agglutination assay
•FTA = Fluorescent - Treponemal Antibody Absorption
•ELISA = Enzyme - Iinked Immunosorbent assay
•PCR = Polmerse Chain Reaction ( hii ni kuangalia viini saba vya DNA ya TP)
•CBC = Complete Blood Count
•Dark field microscope
•X-Ray ya kifua na uti wa mgongo
•ECG. = Vipimo vya moyo.

DAWA;
Penicillin, polyketides antibiotics (Doxycline) , Hizi hutumika kwa wa jawazito, pia ina madhara ya kuharibu mishipa ya fahamu.
∆∆ Usitumie dawa bila kupima.

For any inquiries contact us through doctor@blader.com or FBP@solution4u.com or Ned-help@usa.com
 

Forum statistics

Threads 1,283,631
Members 493,759
Posts 30,795,035
Top