Xiang Hao Senior Member Nov 19, 2016 126 97 May 27, 2019 Thread starter #21 maloloo said: Ya hosp Click to expand... Shukran
M maloloo JF-Expert Member May 26, 2019 332 259 May 27, 2019 #22 Xiang Hao said: Shukran Click to expand... Bei yake haizidi elfu 15
M Ms mol JF-Expert Member Mar 31, 2017 1,960 2,336 May 29, 2019 #23 Xiang Hao said: Shukran Click to expand... Napenda kujua kidole kinaendeleaje? km hujapona tafadhali twanga kitunguu swaumu kisha pakaa kwenye kidolr usiku na usikichubue. pole sana..!
Xiang Hao said: Shukran Click to expand... Napenda kujua kidole kinaendeleaje? km hujapona tafadhali twanga kitunguu swaumu kisha pakaa kwenye kidolr usiku na usikichubue. pole sana..!
Xiang Hao Senior Member Nov 19, 2016 126 97 May 29, 2019 Thread starter #24 Ms mol said: Napenda kujua kidole kinaendeleaje? km hujapona tafadhali twanga kitunguu swaumu kisha pakaa kwenye kidolr usiku na usikichubue. pole sana..! Click to expand... Shukran sana kwa msaada wako tutafanya ivo
Ms mol said: Napenda kujua kidole kinaendeleaje? km hujapona tafadhali twanga kitunguu swaumu kisha pakaa kwenye kidolr usiku na usikichubue. pole sana..! Click to expand... Shukran sana kwa msaada wako tutafanya ivo
Malo Robi JF-Expert Member May 16, 2017 322 542 May 29, 2019 #25 Xiang Hao said: Pesa ndio shida mkuu Click to expand... Yaani pesa ya bando na simu ya kuingilia humu jamii forum ipo halafu ya kwenda hospital kuangalia afya haipo?? Tanzania weee
Xiang Hao said: Pesa ndio shida mkuu Click to expand... Yaani pesa ya bando na simu ya kuingilia humu jamii forum ipo halafu ya kwenda hospital kuangalia afya haipo?? Tanzania weee
Xiang Hao Senior Member Nov 19, 2016 126 97 May 29, 2019 Thread starter #26 Malo Robi said: Yaani pesa ya bando na simu ya kuingilia humu jamii forum ipo halafu ya kwenda hospital kuangalia afya haipo?? Tanzania weee Click to expand... Ajabu iko wapi
Malo Robi said: Yaani pesa ya bando na simu ya kuingilia humu jamii forum ipo halafu ya kwenda hospital kuangalia afya haipo?? Tanzania weee Click to expand... Ajabu iko wapi
M Ms mol JF-Expert Member Mar 31, 2017 1,960 2,336 May 29, 2019 #28 Xiang Hao said: Shukran sana kwa msaada wako tutafanya ivo Click to expand... mkuu nitaomba mrejesho.. najua ulifanya hivyo siku mbili tatu utapata mrejesho
Xiang Hao said: Shukran sana kwa msaada wako tutafanya ivo Click to expand... mkuu nitaomba mrejesho.. najua ulifanya hivyo siku mbili tatu utapata mrejesho