Huu ni ugonjwa gani? msaada tafadhali

Eeeee!! Mkuu unataka na picha ya ugonjwa!!!

Nina wasiwasi na umri/Elimu/uelewa wako
Pole sana mkuu kwa mnayopitia ila kikubwa naomba usikate tamaa pia jtahd kujaribu watumish wale wa makanisa ya kawaida na yy pia inabid mumjengee utaratbu wa kusoma neno na kuwa karibu na Mungu wakat wote lakn pia jitahd kutokuchanganya mafaili mfano leo kanisani kesho kwa mganga jtahdin iman ijengeke sehmu moja wachungaj wa sku hz nao inabd muwe makin wengine n haohao mawakala wa Lucifer
 
Back
Top Bottom