Huu ni ugonjwa au?

Huu ni ugonjwa au?

kukumdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
2,883
Reaction score
2,786
Mwenzenu naitaji msaada maana kila nikiwaza kuhusu kufanya mapenz biologia yangu inasimama! Dawa yake ni nini kwasababu hadi mbele za watu inatokea hivyo?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
mbona poa kk..mean upo active cz umejua hvyo na kam hutak isimam basi usiwaze...ila tatizo ni ugumu tu.
 
Ndo muda wenu huo,balehe ikishapita utakuwa nomal tu usijali. angalia tu usije ukaanza kuchungulia dada zako.
 
So sio ugonjwa ni kawaida tu!?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Unakula na kulala boarding? Watu tunavyosugua vichwa wakati mwingine unajisahau hata kama pana kitobo hapo down.
 
siku hizi hadi nyie kuku baiolojia zenu zinasimama!!!!

Mwenzenu naitaji msaada maana kila nikiwaza kuhusu kufanya mapenz biologia yangu inasimama!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
hata hii unaomba ushauri? ok nenda kapge nyeto kwa sabuni,na pia hakikisha unapzi mara 2 kwa kila siku :A S angry:
 
hata hii unaomba ushauri? ok nenda kapge nyeto kwa sabuni,na pia hakikisha unapzi mara 2 kwa kila siku :A S angry:

mkuu, mbona hivyo? huo umri wa mtoa mada ungekuwa wa mwanao/mdogo wako ungempa huo ushauri? be sincere to yourself!
 
Back
Top Bottom