Huu ni uchuro

Unapolala usiku wakati sio lazima. Na kufanya kazi mchana wakati hata usiku inawezekana kufanya kazi...
 
Unapokohoa kisha ukameza makohozi.
 
unapojifaragua Chelsea Tumeingia fainali wakati we uko Bongo na huna mchango wowote kwa timu.
 
Nchi inapoteketea kwa wizi na kudai ni upepo wa kisiasa
 
Unapojifanya jasiri wakati kamdudu mbu kanakufanya ujizinge kwenye chandarua
 
Unapo jisaidia kichakani ukimaliza unaangalia kinyesi chako
 
unapofunika mavi kwa kibakuli kuzuia harufu badala ya kuyatoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…