Huyu dogo mnyoa panki sio ndio anataka kupigana na marekani au?
Nimeandika statement, kisha nikataka verification.Hivi hapa umetoa jibu au umeuliza swali?
View attachment 89219
View attachment 89220
kwa kitendo cha ku hacked website ya serikari ya korea kusini na kuweka hizi katuni hapo wana diplomasia sijui mnasemaje kwa kitendo hiki.
Nimeandika statement, kisha nikataka verification.
Ningekuwa na verification nayo nisingeiandika, ila kwa sababu wakuu wangu mpo, nikaona niiandike ili mnithibitishie.nani alikuruhusu kuandika statement usiyokuwa na verification nayo??
au unafanyakazi kwenye vile viwanda vya JK