yani Leo demu kanipigia cm tuonane na nilikua namfukuzia long time.cha ajabu nilikua nasafri nikairisha.demu Kafka hadi gheto ila nimeshindwa kumbandua.da huu ni uboya!
Anaefanya kazi ya uandishi ni mwandishi.
Anaefanya kazi za kidaktari ni daktari.
Anaefanya vitu vyakiboya ni boya.
Sasa wewe boya safari umeairisha na papuchi umekosa yani nakosa lakukushauri.