Huu ni ubaguzi na ukatili !! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu ni ubaguzi na ukatili !!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jackbauer, Jan 8, 2011.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Watu wa Arusha hawapewi heshima badala yake wanafanyiwa vitendo vya ukatili.
  Tunakumbuka Matokeo ya uchaguzi wa ubunge yalicheleweshwa makusudi,hii ilisababisha 'unnecessary chaos' na hata mbunge mteule(G.LEMA) kumwagiwa majiwasha(hii ni kuwakosea heshima waliomchagua)

  Uchaguzi wa meya ulivurugwa makusudi,hii imepelekea maandamano ya kwanza na aina yake yaliosababisha mauaji na uharibifu wa mali.

  Wakati yote haya yakitokea' responce' ya viongozi wa serikali imekuwa 'poor'
  kwa maoni yangu nilitegemea kiongozi mmoja wa kitaifa angefika arusha either kabla ya tukio la umwagaji damu au baada ya tukio hilo.

  Kikwete,Pinda,Nahodha,Mwema,Tendwa,Makinda e.t.c
  yaani woooote hawa walibaki Dar wakishuhudia au kuelekeza ukatili uliofanywa dhidi ya watu wa arusha.
  POLENI SANA WATU WA ARUSHA.
  MMEONYESHA KWA NINI MONUMENT YA MWENGE WA UHURU ILIJENGWA ARUSHA.
  VIVA ARUSHA !! Mapambano yanaendelea!!
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Leo hii tumeona pinda akifika UDOM.kweli hii ni haki?
   
Loading...