Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,656
atakua amepata helaSalaam! Nina mdogo wangu wa kiume, alikuwa mbaya(sura mbaya) tangu utoto wake, mademu wengi walimkataa sana.
Mwaka 2019 alijiunga na chuo nako bado alikataliwa kwa dharau sana. Ikapita miaka 2 yaani mpaka mwaka huu, amerudi likizo nashagaa, yaani wotr tumemshangaa sana, kawa handsome balaa, ameota tundevu na uso wake umebadilika.
Yaani kichwa kimekuwa kirefu chenye mvuto kifupi mpaka mwenyewe nimeshangaa sana, na ameanza kuwapanga mademu vibaya mno.
Kwa wajuaji, hivi kuna mabadiliko yoyote ya mwili wa binadamu kwa miaka 2, hususani sura na kichwa kwa kijana wa miaka 21? Kwa sasa ana miaka 23. Nimeshangaa mno kilichomtokea huyu dogo.
Nawasilisha!
Kazi yake nini? Nipe details kidogo kaka.hiyo sio link hiyo ni code
Wewe ni Mzungu? Mbona umesema watu weusi?Ipo hv kwa wale wenye vichwa vipana unachopaswa kufanyq kuguga nywele nying kisha nyoa pank ya brash pank lisiloonekana nywele zq juu usinyoe zichpnge tu kichwa chako kitaonekana kirefu kuhusu appearance watu weusi siju hz
Hiyo ni encryption...ukiicrack hiyo enigma utakuwa umegundua mipango ya aliens wanaokuja duniani, kuua na kureplace binadamu kwa kivuli cha society iitwayo illuminatiKazi yake nini? Nipe details kidogo kaka.
Alienda kuumbwa upya chuoniCloning ni nini?
Halafu mwambie kubadili mademu sio sifa,atakapoanza kuharisha dengu mtaanza kusingizia watu uchawi..Kama wewe ni dume unaelekea pabaya bro!
Mwanaume kumtamani mwanaume mwenzake ni dalili za kuumaliza mwendo.
Kui-:crack' maana yake ni nini?Hiyo ni encryption...ukiicrack hiyo enigma utakuwa umegundua mipango ya aliens wanaokuja duniani, kuua na kureplace binadamu kwa kivuli cha society iitwayo illuminati
😂😂😂au kaenda plastic surgery?Salaam! Nina mdogo wangu wa kiume, alikuwa mbaya(sura mbaya) tangu utoto wake, mademu wengi walimkataa sana.
Mwaka 2019 alijiunga na chuo nako bado alikataliwa kwa dharau sana. Ikapita miaka 2 yaani mpaka mwaka huu, amerudi likizo nashagaa, yaani wotr tumemshangaa sana, kawa handsome balaa, ameota tundevu na uso wake umebadilika.
Yaani kichwa kimekuwa kirefu chenye mvuto kifupi mpaka mwenyewe nimeshangaa sana, na ameanza kuwapanga mademu vibaya mno.
Kwa wajuaji, hivi kuna mabadiliko yoyote ya mwili wa binadamu kwa miaka 2, hususani sura na kichwa kwa kijana wa miaka 21? Kwa sasa ana miaka 23. Nimeshangaa mno kilichomtokea huyu dogo.
Nawasilisha!
Bana nawewe Google Bana Kila kitu utafuniwe umekuwa Malkia?Kui-:crack' maana yake ni nini?
Sawa mwambaBana nawewe Google Bana Kila kitu utafuniwe umekuwa Malkia?
How?Atakuwa anawekewa mbolea na wenzake tu.
Ukoo wenu ni wa ajabu sana dada zenu sijui kama kuna mtu kawatoa bikra
Una uhakika ni mdogo wako kweli? Mchunguzeni vizuri asije kuwa gaidi wa kiafghanistan kaja kutafuta hifadhi kwenu. We umeona wapi ghafla tu mtu mbaya anabadilika namna hiyo?Salaam! Nina mdogo wangu wa kiume, alikuwa mbaya(sura mbaya) tangu utoto wake, mademu wengi walimkataa sana.