Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,352
Vertically, yaani kasura kake kamekuwa karefu!Kichwa chake kimekuwa kirefu kwenda juu ama nyuma?
Dah nimecheka sana .. kurudi nyuma si chogo hilo ?? .. [emoji23][emoji23]Kichwa chake kimekuwa kirefu kwenda juu ama nyuma?
Hapana, yaani kawa hb kinoma na anabadilisha tu mademu!Isijekua kajipiga plastic surgery ..
Salaam! Nina mdogo wangu wa kiume, alikuwa mbaya(sura mbaya) tangu utoto wake, mademu wengi walimkataa sana.
Mwaka 2019 alijiunga na chuo nako bado alikataliwa kwa dharau sana. Ikapita miaka 2 yaani mpaka mwaka huu, amerudi likizo nashagaa, yaani wotr tumemshangaa sana, kawa handsome balaa, ameota tundevu na uso wake umebadilika.
Yaani kichwa kimekuwa kirefu chenye mvuto kifupi mpaka mwenyewe nimeshangaa sana, na ameanza kuwapanga mademu vibaya mno.
Kwa wajuaji, hivi kuna mabadiliko yoyote ya mwili wa binadamu kwa miaka 2, hususani sura na kichwa kwa kijana wa miaka 21? Kwa sasa ana miaka 23. Nimeshangaa mno kilichomtokea huyu dogo.
Nawasilisha!
Inawezekana .. kuna watu hubadilika na kuwa na mvuto wanapofikia umri wa utu uzima ..Hapana, yaani kawa hb kinoma na anabadilisha tu mademu!
REAL??Inawezekana .. kuna watu hubadilika na kuwa na mvuto wanapofikia umri wa utu uzima ..
Sio wivu kaka, issue ni kuwa mwaka 2019 alikuwa kawaida, sasa imepita miaka 2 tu ndio amekuwa gumzo sana kwa sasa.Sasa unamuonea wivu? Muulize siri yake ili nawe uanze process ya kuwa handsome. [emoji1787][emoji1787]
BroWewe ni bro wake au sister'ake?.
Kuna kaka mkubwa mwengine kwenye hiyo familia yenu au we ndio mikoba?.
Hapana, wapo wengine!Kuna kaka mkubwa mwengine kwenye hiyo familia yenu au we ndio mikoba?.