passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,514
- 12,487
Nataka niwaambie viongozi kwamba huu ni muda wa mabadiko, watu wanaona nchi ina rasilimali nyingi lakini masikini.
Pia kuna, Rushwa, ufisadi, matumizi mabaya ya madaraka n.k, atakayetaka zuia mabadiliko hakika ataishia pabaya kama ambavyo yalivyo mabadiliko duniani kote.