Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 2,193
- 3,957
Eti tumetenga billion 2 za content creators , ikumbukwe kwamba hata mo 29 maandamano yalichochewa mtandaoni kwa kiasi kikubwa hasa tiktok, fb na instragram.
Paul Makonda kawekwa pale kimkajati zaidi ili kunyamazisha gen z mtandaoni na strategy aliotumia nikuanza kuwavuta content creator mwisho wa siku afanye usajili wa content creator wote akiwasanganyia hio billion 2 mjipelekeee ndo mtajua hamjui.
Ukishasajiliwa moja kwa moja wataweza kucontrol kila kitu unachokipost lazima wakipitie wao kwanza kikiwa against wanadeal na wewe kimya kimya.
Anyway mtandanganywa eti kina ndaro wanaingiza ela ndefu huo ni mtego .
Hizo billion ni hewa hazipo