Huu ni mtego au mthiani?

Kwahiyo haumuamini?

Na nadhani hayo maswali yote uliyouliza ungemuuliza yeye moja kwa moja ungepata jibu kwa haraka zaidi sana.

Ila humu watu nao watakua wanajiuliza kama unavyojiuliza wewe tu, kwahiyo mwisho wote kwa maana ya mleta mada na mchangiaji mnajikuta mnaulizana😅😅
 
Shule zifunguliwe aise hizi mada za kitoto zimekuwa nyingi.

Kama hii mada sio chai basi moja kwa moja mtoa mada ni mvulana mwenye miaka 20-27.

Wewe mtoa mada ni mvulana usiyejitambua .
 
Kwa sababu umeomba mawazo.....fungueni japo tu genge mnauza vitu mixer...mtapiga hela...
 
Hahaha nataka kufanya ivo ila unajua Nini ni mwanamke mmoja mzuri sana na sio mzuri ana sifa za kuwa mke ila anaposema ana mimba daah nimemwambia ntalea mtoto akasema sawa sasa how come amekubali kirahisi au ananipima mkuu?
One man down
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…