Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,200
- 6,488
Huyu demu unakuta ulikuwaga unamtaka shule ila ukamkosa sasa hivi ndio anataka kukubali 😂😂 achana naeNimemtongoza mdada mmoja
At the first time alinikataa akasema tayari ameolewa
Sikukata Tamaa mara ya pili tena nimemtongoza amesema ana mimba.
Nikamuuliza mimba ya nani akasema mwenye mimba amekataa..
Kwa kumpima tu nikasema ntalea mimba Fanya mtoto awe wangu.
Akasema sawa na amekubali
Ila Nina wasiwasi Hana mimba kwasababu zifuatazo.
01.Huwezi kukubaali kuingia kwenye mahusiano Hali ya kuwa una mimba.
02.anakaa na mama yake ila mimba Ina miezi minne na mama yake hajui kama ana mimba ( hii inawezekana vipi?
03.anasema jamaa aliempa mimba hajawai kwenda kwao kutoa taarifa kuwa jaamaa kampa mimba!
04.kabla ya kuonana na Mimi alikuwa yupo tayari tuone na hakuwai kuniambia ana mimba
Je Ukute ni kigezo chake Cha kupima userious wangu au kweli ana mimba??
Ni school mate Tumeachana miaka Saba ila now ndio nimepata mawasiliano yake.
Nb tupo mikoa tofauti
Naomba mawazo yenu
Hahaha ni sawaJiandae na mizinga ya kulea mimba.! Utasikia baby mtoto anacheza tumboni ana hamu na chips mwanao mtoro tuma maokoto
Hahaha nataka kufanya ivo ila unajua Nini ni mwanamke mmoja mzuri sana na sio mzuri ana sifa za kuwa mke ila anaposema ana mimba daah nimemwambia ntalea mtoto akasema sawa sasa how come amekubali kirahisi au ananipima mkuu?Huyu demu unakuta ulikuwaga unamtaka shule ila ukamkosa sasa hivi ndio anataka kukubali 😂😂 achana nae
anakupima kweli kwa sababu anajua unataka kula utembee na anajua soko lake liko chini sana kwa sasa, na wewe nenda kwa akili usije kufa kibudu usiweke makazi hapo.Hahaha nataka kufanya ivo ila unajua Nini ni mwanamke mmoja mzuri sana na sio mzuri ana sifa za kuwa mke ila anaposema ana mimba daah nimemwambia ntalea mtoto akasema sawa sasa how come amekubali kirahisi au ananipima mkuu?

Sawa kaka ushauri mzuri huuanakupima kweli kwa sababu anajua unataka kula utembee na anajua soko lake liko chini sana kwa sasa, na wewe nenda kwa akili usije kufa kibudu usiweke makazi hapo.
Miaka 7 ni mingi kwa mwanamke awe amekaa tu hana mimba hana mtoto alikuwa anafanya nini muda wote na yupo kwao 😂😂Sawa kaka ushauri mzuri huu
Ety anasema anakaa na mama yake na mimba Ina miezi minne na mama yake hajui kama ana mimba na hajajamwambia inaingia akilini hii,?
Alikuwa anasoma Tumeachana form four kwasasa yuko chuo last yearMiaka 7 ni mingi kwa mwanamke awe amekaa tu hana mimba hana mtoto alikuwa anafanya nini muda wote na yupo kwao 😂😂
Chuo last year👀!! anywayAlikuwa anasoma Tumeachana form four kwasasa yuko chuo last year
Mkuu toa ushauri mkuu au atakuwa ananitegaChuo last year👀!! anyway
Vijana kama nyie mnaliwa chums mchichaNimemtongoza mdada mmoja
At the first time alinikataa akasema tayari ameolewa
Sikukata Tamaa mara ya pili tena nimemtongoza amesema ana mimba.
Nikamuuliza mimba ya nani akasema mwenye mimba amekataa..
Kwa kumpima tu nikasema ntalea mimba Fanya mtoto awe wangu.
Akasema sawa na amekubali
Ila Nina wasiwasi Hana mimba kwasababu zifuatazo.
01.Huwezi kukubaali kuingia kwenye mahusiano Hali ya kuwa una mimba.
02.anakaa na mama yake ila mimba Ina miezi minne na mama yake hajui kama ana mimba ( hii inawezekana vipi?
03.anasema jamaa aliempa mimba hajawai kwenda kwao kutoa taarifa kuwa jaamaa kampa mimba!
04.kabla ya kuonana na Mimi alikuwa yupo tayari tuone na hakuwai kuniambia ana mimba
Je Ukute ni kigezo chake Cha kupima userious wangu au kweli ana mimba??
Ni school mate Tumeachana miaka Saba ila now ndio nimepata mawasiliano yake.
Nb tupo mikoa tofauti
Naomba mawazo yenu
Nimemtongoza mdada mmoja