GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,318
Hapa wanasiasa hawa wanajifanya kula chakula hiki na wananchi kipindi cha kuomba kura au kujitangaza kisiasa. baada ya hapa huwa wanahamia kula serena hotel, protea, new africa,double tree,white sands n.k
wananchi huendelea kula hivi hivi kwa miaka yote wakiwa wamewachagua watu wachache wakale hotel kubwa kubwa kwa niaba yao. hii picha ukiiangalia unaona usanii wa wanasiasa hawa. haya maisha anayaishi kwa masaa kadhaa au dka kwa miaka 5. wakati mwananchi wa kawaida ndo maisha yake ya kila siku.
tuendelee kuwachagua wakatuwakilishe kwenye kula na kuishi vizuri. maana tunawachagua wao wapate maisha mazuri kwa niaba yetu.
huu ndo uchawi wa wanasiasa. hapa tayari huyu mwananchi ataenda kuwapigia kura wevi wa aina hii akisema ni watu wa kawaida hawana makuu wanajishusha mpaka kuwa nao sawa. huu ni uongo mwingine wa wanasiasa. asanteni sana.