Huu ni mmea gani?

Huu ni mmea gani?

Jindal Singh

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
1,857
Reaction score
1,541
Salaam JF,

Leo katika pitapita zangu somewhere in Tanzania nikakutana na huu mti ulio na kambakamba kama neti. Je! Huu ni mmea gani?

tmp_29716-20160919_131219-1653736347.jpg
 
Didi's Pub ndio makao makuu ya huo mti/jani....huu mti/jani ni comon sana mbona
 
Unaitwa MVELI
Na huwa unaota juu ya mti ambao upo pair,yaani mti wa kike na wa kiume
Sasa wenyewe huota kwenye Mti wa kike,na ndio maana kwenye picha ukiangalia utaona pembeni kuna Mti wa Kiume,haujavaa VELI ila huo wa Kike ndio Umeota huo Mveli
Tatizo lake moja tu,harusi yake haiishi,veli halivuki mpaka bi harusi afe.Subiri mti jike ufe ndio na wenyewe unakufa
 
Huo sii mti bali ni maotea climber. Huota juu ya mimea mingine iikiwa yenyewee haiwezi kujitegemea. Ni km moss vile
 
Dawa ya nini mkuu mbona mimi sijasikia kitu kana hicho wakati niko nao kila siku!!
Ngoja nidadavue kidogo kuhusu hizo kambakamba zinazoota juu ya huo mmea.
Nguzo kamba kamba niliambiwa ni dawa inayotibu magonjwa mengi saana.unachotakiwa kufanya ni kuichoma,au unaikausha Na hapo unaweza kutumia.
 
Back
Top Bottom