Huu ni mlo wa mtu mmoja

usukumani kawaida sana hiyo...
 
wasukuma wanapenda sana mambo hayo..!!wanapenda vitu vikubwa vikubwa..!!
 
Kwa mmoja si kweli na kama kweli basi hilo si tumbo ni pakacha
 
Huu mlo kama ni wali basi lazima kitakuwa chakula cha muislam fulani.....hawa jamaa kwa kula sijawahi ona hapa duniani. Yaani muislam bila wali anaona si sahihi, na akila lazima azidishe kipimo chake ili aende msikitini akawatambie wenziwe.

Weee Jamaa mbishi tafadhali wewe acha hizo
 
Last edited by a moderator:
Sio afya ni kujitakia ugonjwa tu hapo
 
Kikombe cha kunywea maji na ndoo ya lita kumi ya maji ipo kando...! BTW hii ni kawaida sana Mikoa ya Shinyanga, Mwanza na Tabora...!
 
Hawezi kumaliza, hapo ni tele kwa tele wali na maharage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…