Huu ni Mlima gani?

Bei yote hyo ukienda gold star unapata kwa laki 4 mkuuu,punguza bei


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Mlioelewa anacho kimaanisha mleta mada mtufafanulie maana kuna majukwaa yenye heshima zake.
 
Mount kilimanjaro…the highest mountain in AFRICA!!
 
Mkuu nasema wahenga walinena penye miti hakuna wajenzi sisi wabongo tutabaki kuusifia tuu huu mlima wetu lakini matunda yake wanakula majirani zetu na huyo ndovu ndio wanakula hao vioangozi wetu sasa neema au siyo neema kwa hao viongozi wetu
 
Mlima naujua ila namhurumia huyo ndovu/tembo maana kuna watu wana mzio/aleji nao..uwiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…