Eti msahafu wa mungu utatumika ktk kazi ya kuloga
Eti msahafu wa mungu utatumika ktk kazi ya kuloga
= kuroga
Umeshasema msahafu wa "Mungu", Mungu anaroga?
Eti msahafu wa mungu utatumika ktk kazi ya kuloga
Msikiti unahusikaje hapo?
au kuna sheria ile ya kukata mikono mtu akibainika kama mwizi?
au kuna AYA zitasomwa alafu wahusika wakapotea?? zile aya zetu zile!!! - Ni mpango wa mungu???
najiuliza tuu.
Mahakama ya kadhi ndio sehemu zake hizo
Mahakama ya kadhi ndio sehemu zake hizo